Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Mtu Kwao

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2019
Posts
393
Reaction score
725
Salaam!!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga.

Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie.

RIP JPM.

1644213402146.png

 
Back
Top Bottom