Mamndenyi
Platinum Member
- Apr 11, 2011
- 44,623
- 64,498
Ina maanisha end of eraKuna jamaa mmoja huko facebook alipost picha yake! Juz kati hapa! Halafu mama kanawiri kweli kweli ! Sijui hata ina maanisha nin!
Ina maanisha end of eraKuna jamaa mmoja huko facebook alipost picha yake! Juz kati hapa! Halafu mama kanawiri kweli kweli ! Sijui hata ina maanisha nin!
nyuzi gani hizo tulizoanzisha majukwaan ambazo hazina miguu wala kichwa?Sukuma gang wamefadhaishwa sana na kifo cha mungu wao sasa wamebaki wanaweweseka tu.
Sasa wamejipa kazi ya kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kila wakati.
Respect kwa watu wazima ni jambo la msingi sana, respect inampa mtu baraka, think and comment respectfully you will be respectedMwacheni mama apumzike kama amepata mkubwa mwenzake wa kukata kiu yake mnamtaka kila wakati awe mbele ya kamera kuuza sura?
Mm naheshimu watoto hadi wazee.Respect kwa watu wazima ni jambo la msingi sana, respect inampa mtu baraka, think and comment respectfully you will be respected
Na ubabe wako mbona hukuwa hata mtendaji.Nina cheti kizuri tu kuliko hata cha Magufuli aliyekwenda Teaching baada ya Form IV, wakati wababe tukienda A- Level
Machi Kumi na saba.TUNAMSHUKURU MUNGU kwa kututendea mambo makuu 17th March 2021.
sijui atakuelewa!!!???!!Sio kila mtu anamind kuuza sura.
Historia yako ya maisha ina mapungufu mengi mno mkuu huo ndio ukweli bila kuacha shaka yoyote na wewe ubalijuwa hilo.Nina cheti kizuri tu kuliko hata cha Magufuli aliyekwenda Teaching baada ya Form IV, wakati wababe tukienda A- Level
Hivi Humphrey maduhu polepole yuko wapi siku hizi?Sukuma gang wamefadhaishwa sana na kifo cha mungu wao sasa wamebaki wanaweweseka tu.
Sasa wamejipa kazi ya kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kila wakati.

Hata nyerere,,Hata na watoto pia.
..Si afadhali yeye hayuko kuzimuHapa anatakiwa zaidi mke wa chairman ufipa tumpe moyo!
Wewe mnyarwanda sina cha kukujibu. Unaishi Tanzania kama privilegeHistoria yako ya maisha ina mapungufu mengi mno mkuu huo ndio ukweli bila kuacha shaka yoyote na wewe ubalijuwa hilo.
Amen😀TUNAMSHUKURU MUNGU kwa kututendea mambo makuu 17th March 2021.
Kama ni mtu mzima basi umekuwa mtu mzima kimakosaMm naheshimu watoto hadi wazee.
Nami pia ni mtu mzima usidhani nalingana na wewe.
Kama hii.nyuzi gani hizo tulizoanzisha majukwaan ambazo hazina miguu wala kichwa?
Siku hizi anapiga cha arusha kisha anaingia darasani kufundisha uongozi na tabia hiyo ameianza baada ya kufiwa na bwana'ke.Hivi Humphrey maduhu polepole yuko wapi siku hizi?![]()