Her
OhoooooMwacheni mama apumzike kama amepata mkubwa mwenzake wa kukata kiu yake mnamtaka kila wakati awe mbele yanl kamera kuuza sura?
Acha UCHAWA,mama Janeth anauongozi gani kwenye Nchi hii?Salaam!!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga
Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..
RIP JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo familia imelelewa katika makadilio tofauti sana mkuu. Ndiyo maana hata katika kipindi chooote cha uongozi wa Marehemu tangia akiwa waziri hatukuwa tukisikia tambo za watoto wakeSalaam!!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga
Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..
RIP JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata na watoto pia.Jpm kweli alibahatika kupata mke...
Mama kawa mrembo sana mwacheni aendelee kujificha tuuu na mimi naunga mkono maana nina udhaifu kuliko Pascal MayallaSalaam!!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu
Sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga
Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..
RIP JPM.
Sent using Jamii Forums mobile app
Salaam!!

Naskia kuna mstaafu anamnyemeleaMwacheni mama apumzike kama amepata mkubwa mwenzake wa kukata kiu yake mnamtaka kila wakati awe mbele yanl kamera kuuza sura?
Dah yawezekana ndo sababu ila tunammis sana Mama janethHiyo familia imelelewa katika makadilio tofauti sana mkuu. Ndiyo maana hata katika kipindi chooote cha uongozi wa Marehemu tangia akiwa waziri hatukuwa tukisikia tambo za watoto wake
NGOMA IKO HUKO MSOGA BABA. MZEE MAMA WATOTO WOTE NI VIONGOZI WA TAIFA
Mkubwa mwenzake ni wewe.Mwacheni mama apumzike kama amepata mkubwa mwenzake wa kukata kiu yake mnamtaka kila wakati awe mbele ya kamera kuuza sura?
Mkuu nilivyoona heading nikajua unataka kumstiri mjane!Salaam!!
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga