Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Yu wapi Mama Janeth Magufuli?

Hiyo familia imelelewa katika makadilio tofauti sana mkuu. Ndiyo maana hata katika kipindi chooote cha uongozi wa Marehemu tangia akiwa waziri hatukuwa tukisikia tambo za watoto wake

NGOMA IKO HUKO MSOGA BABA. MZEE MAMA WATOTO WOTE NI VIONGOZI WA TAIFA
Ukimtoa jesca watoto wengine wote wa marehemu mzilanKENDE niliwajua kwenye msiba wake
 
Kuna jamaa mmoja huko facebook alipost picha yake! Juz kati hapa! Halafu mama kanawiri kweli kweli ! Sijui hata ina maanisha nin!
 
Salaam!!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga

Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..

RIP JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Anamalizia shule yake pale misungwi
 
Ila wabongo bhana angekua anaonekana onekana wangeongea tena Muache Mama apumzike kufiwa simchezo na pia anaonekana sio mtu wa Macamera sana,mbona hukuuliza mama Anna,mama Maria
 
Salaam!!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga

Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..

RIP JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona huulizi first gentleman yuko wapi wakati tunaona Hangaya anapuyanga peke yake.
Huulizi Siti
Anna mkapa
Salma

Tumia akili zako vizuri najua una bifu na JPM.
 
Salaam!!

Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu sikumbuki ni lini Mama janeth first lady wa 5 alionekana hadharani kupitia runinga

Zimefanyika sherehe mbali mbali ambazo kwa nafasi yake alitakiwa kuwepo sherehe kama za uhuru mapinduzi na sherehe ya leo ya CCM
Mwenye kujua Mama huyu mpole mkalimu alipo atuambie..

RIP JPM.

Sent using Jamii Forums mobile app
Muache apumzike na atengeneze historia yake mpya. Hakuna kitu kibaya kama kuitwa mjane wa Mwendazake Magufuli.

Anajuwa namna mumewe alivyowakwaza watu, kwa kuua, kudhulumu fedha, kuwafukuza kazi, kuiba kura za uchaguzi nk.
 
kawachukiwa watanzania hawana wema mnampiga madongo marehemu mumewe jpm unafikiri anafurahia
 
Muache apumzike na atengeneze historia yake mpya. Hakuna kitu kibaya kama kuitwa mjane wa Mwendazake Magufuli.

Anajuwa namna mumewe alivyowakwaza watu, kwa kuua, kudhulumu fedha, kuwafukuza kazi, kuiba kura za uchaguzi nk.
Unachuki sana wewe, Mungu anakuona, hauko salama
 
Sukuma gang wamefadhaishwa sana na kifo cha mungu wao sasa wamebaki wanaweweseka tu.
Sasa wamejipa kazi ya kuanzisha nyuzi zisizo na kichwa wala miguu kila wakati.
Yesu alikufa akafufuka.
 
Back
Top Bottom