Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Ni kweli yuko Tumaini University Makumira Dar es salaam (TUMADARCO). Pia SEKUCO walimtumia kama mkuu wa kitivo cha sheria. Sijui kwa sasa nasikia wamekuwa chuo kinachojitegemea (SEKOMU) sijui wanamtumia nani. Ikumbukwe chuo hiki kinamgogoro wa chini chini kwa kung¡®ang¡®nia wanachuo waliosajiriwa na Tumaini Unv. TCU hawakutuma kamati husika hivyo chuo hicho kikawabaka wanachuo hao na kuwapa ubatizo mpya. Taarifa za mbali zinasema vyeti vyao vikionekana na kasoro wanazozidhania watafungua kesi ambayo vijana wanaosoma sheria chuoni hapo waliita ¡°JUDICIAL REVIEW¡°!!!!
 
Mwaka 1994 akiwa NCCR Mageuzi tulimchagua kuwa Diwani kata ya Manzese, na hapo ndipo alianza kujulikana zaidi mitaani. Mwaka 1995 akiwa aligombea ubunge jimbo la Ubungo na alikuwa ameshinda pamoja na wenzake wa NCCR katika majimbo yote ya DSM lakini uchaguzi huo ulifutwa saa nane ya usiku baada ya tume kuona kuwa dsm yote imechukuliwa na upinzani.
Kwa kuwa NCCR haikuridhika na uchaguzi tanzania nzima, iliamua kujitoa, ila kisheria haikuwezekana. Wagombea wengine wote wa NCCR walitangaza kususia uchaguzi wa marudio dsm, lakini Lamwai alikataa na kushiriki; na tulimchagua kuwa mbunge wa jimbo la ubungo. Matokeo hayo yalipingwa mahakamani na Lamwai akashindwa kesi; na huo ukawa mwanzo wa mporomoko wake.
Baada ya hapo alifutiwa ualimu wa udsm na pia serikali ilimfutia leseni yake ya uwakili wa kujitegemea. Lamwai akadhoofu na akawa hana budi kujisalimisha kwa CCM. Ndipo Mkapa alimteua kuwa mbunge.
Kitendo cha Lamwai kurudi CCM na kuteuliwa na mkapa, kilimshushia heshima katika jamii - kama mchangiaji mmoja alivyosema 'siamini kama mtu aliyekuwa anaikandia sana ccm angeweza kurudi huko'. Wengi tulimwona kama mtu aliyekosa uvumilivu na ujasiri wa kundelea kuwa upinzani - alitusaliti. Kwa kuwa JK hakumteua tena kuwa mbunge; ikawa ndio mwisho wake katika siasa. Hana tofauti na Kabourou wa Kigoma

:twitch:ALINUKULIWA NA VYOMBO VYA HABARI AKISEMA:'UPINZANI UNAUWAWA NA USALAMA WA TAIFA'.:laugh:
 
Jamank NILIPATA KUSIKIA UMASHUHURU WA JAMAA GAFLA AKASAHAULIKA KUNA ANAEJUA ALIPO BADO AMA ANAENDELEA NA KAZI YA UWAKILI ILE ILE

ELSE UKIMWONA MSALIMIENI SANA SANA
 
Jamank NILIPATA KUSIKIA UMASHUHURU WA JAMAA GAFLA AKASAHAULIKA KUNA ANAEJUA ALIPO BADO AMA ANAENDELEA NA KAZI YA UWAKILI ILE ILE

ELSE UKIMWONA MSALIMIENI SANA SANA

Ni nani alisha tafuna muwa akameza na makapi? Ieleweke kwamba wale jamaa wakisha kukutumia ili kukamilisha mambo yao hawana haja nawe tena. Ndiyo maana vijana wana lugha kwamba yeyote ambaye atasaliti watu wake hana tofauti na ule mpira maarufu ukishatumika unatupwa kwenye kapu la takataka.

Wako wapi tena kina Shonza, Mwampamba, yule jamaa maarufu aliyetoka CUF akapewa kitengo cha Propoganda ndani ya CCM?


Tafakariiiiiiii
 
Du! Ukimwona masumbuka Lameani utamwonea huruma. Numekutsna bar manuspaa ya Temeke kachoka mvaua mno. Kori limemvaa badala ya yrye kulivaa usaliti mbaya wajamani
 
Du! Ukimwona masumbuka Lameani utamwonea huruma. Numekutsna bar manuspaa ya Temeke kachoka mvaua mno. Kori limemvaa badala ya yrye kulivaa usaliti mbaya wajamani

ukipigwa ban utalalamika ?
 
Mh. Dr masumbuko Lamwai yupo. Na ni mhadhiri wa sheria anafundisha tumaini university, kampala international university ya tz na udsm na ni miongoni mwa wahadhili waliobobea katika taaluma ya sheria. Tuache porojo
 
Yuko tu vizuri na maisha yake.Maisha si kwenye siasa tuu.
 
Du! Ukimwona masumbuka Lameani utamwonea huruma. Numekutsna bar manuspaa ya Temeke kachoka mvaua mno. Kori limemvaa badala ya yrye kulivaa usaliti mbaya wajamani

Unatuchosha akili tunapojaribu kutafuta ulichokusudia kuandika!
 
Mpeni mtu heshima yake jamani. Mie Mzee Mkapa, namvulia kofia. Alikuwa anajua kuwashughulikia watu kikamilifu. Alimshughulikia huyo mtu. Lamwai akisikia king'ora cha polisi anadhani ni Mkapa anapita. Yaani aliogopa hata jina lake mzee huyo likitajwa.
Alimficha kabisa na hata leo Lamwai hataki kusikia hiyo kitu inayoitwa Siasa.
 
Mh. Dr masumbuko Lamwai yupo. Na ni mhadhiri wa sheria anafundisha tumaini university, kampala international university ya tz na udsm na ni miongoni mwa wahadhili waliobobea katika taaluma ya sheria. Tuache porojo
Anafundisha UDSM?
 
jana nlimwona district housing and land tribunal hapa mwananyamala.....
 
Jamani hivi huyu mwasheria aliyewahi kuwa Mbunge siku za nyuma nadhani kupitia NCCR kama sikosei, yuko wapi siku hizi?mbona hasikiki ...
MWENYE HABARI ZAIDI JUU YAKE AZIMWAGE HAPAJAMVINI...

Used condom and toilet paper mahala pake huwa ni kwenye dust bin. Dr. Lamwai is a used condom/toilet paper. Let him rot in hell!
 
Nakumbuka alisimamia kesi kule temeke mpaka tukapata msamiati wa 'Kihiyo' na baadaye Mrema akaukwaa Ubunge wa Temeke. Aliporuka kwenda CCM ndio akapotea kama ile ndege ya Malaysia. Hilo anga ni hatari si unaona hata Nyepesi naye anavyosahaulika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom