Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 137,448
- 271,973
Generally yupo rafu rafu
laana ya usaliti ni mbaya mno!
Generally yupo rafu rafu
Mbona umemsahau Zitto? na wengine akina Thomas Ngawaiya
wewe umechangamkia zipi? buku 7 au ????
laana ya usaliti ni mbaya mno!
Aseee ww unavurugu! Mbona unapenda kusema ukweli kwenye utani? Shaul yako wenzio hawapendi kuambiwa ukweli, ukiwaambia tu wanakuita msaliti!kweli mkuu.. na inaendelea kumtafuna mwenyekiti wetu kwa kumsaliti mke wake wa ndoa na kuzaa na mbunge wake wa viti maalum
ccm walimmaliza kimyakimyaMsomi huyu wa taaluma ya sheria, ambae aliwahi kuwa mwana siasa mahiri miaka ya 1995 yuko wapi? Anafanya shughuli gani? Naomba kujuzwa.
Msomi huyu wa taaluma ya sheria, ambae aliwahi kuwa mwana siasa mahiri miaka ya 1995 yuko wapi? Anafanya shughuli gani? Naomba kujuzwa.
Mulizeni mdogo wake mbunge wa rombo, mh Roman Selasini.ccm walimmaliza kimyakimya
Hii nchi ina watu wabaya sana!ccm walimmaliza kimyakimya
Rip Roman selasin alikuwa ni baba ake dr lamwai mdogo wake anaitwa joseph selasin ambaye ndo mbunge wa wa sasa wa rombo kupitia UkawaMulizeni mdogo wake mbunge wa rombo, mh Roman Selasini.
Mara ya mwisho nilimuona mahakamani amevaa koti kubwa jeusi akitetea wezi wa kuku.Dr. Masumbuko Lamwai anaendelea na shughuli zake za Uwakili katika mahakama na mabaraza mbalimbali hapa nchini. Pia, Dr. Lamwai ni Mhadhiri Mwanadamizi wa Chuo Kikuu cha Tumaini cha Dar es Salaam. Yuko hasa hapa Dar es Salaam.
Anamkaa na mtungini daily hiyo ndy shidaa,nyumbani kwake alikuwa na grocery basi kutwa kupiga chichaahuyu msomi huwa ananishangaza,nywele hachani,havai viatu vya kufunika zaid ya sandals,hapigi pasi,mwilini yuko rough ila ubongo wake uko smart sana hata tundu lissu haoni ndani