NATA
JF-Expert Member
- May 10, 2007
- 4,492
- 1,313
Lamwai ni nasikia ni mwanasheria wa CCM. Pia kwa sasa anafundisha somo la sheria katika vyuo mbambali. Mwaka 2010 nilimuona Tumaini University kituo cha Kurasini.
Hana jipya zaidi ya kuishiwa kila alichokuwa nacho alipokuwa NCCR. Hilo ndo kosa la watu wengi katika siasa kurudi CCM.
Kwani alirudi kwa kupenda? Nguvu ya mafisadi waliamua kumnyamazisha moja kwa moja, kafyata mkia anatumikia !