Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Anakoelekea ZZK ndo aliko Lamwai, kama unamtafuta kwa dili za usaliti muulizie ZZK utawapata wasaliti wote pande hiyo; Sanzungwanko, Hiza, Wasira, Mrema etc
 
Yuko anakoelekea MM Zitto Zuberi Kabwe,ndege wanaofanana..................
 
Mkuu sio alosoma kasoma. huyu jamaa alikumbwa na kimbunga kinachoitwa ''Hurricane Mkapa'' akasimamishwa kuwa lecturer UD, akaporwa leseni ya uwakili, mwanae akapata ajali akiendesha gari la dingi yake la ubunge. Baada ya kimbunga hicho akaamua kurudi CCM na vyote akarudishiwa kasoro utu wake tu ndo CCM waliuchukua.
Mkuu hapo umenena,huku mi mbavu sina,you 've really made my day.
 
Naomba wakuu mnisaidie, hivi hii
KONGOWE CITY ilishajengwa
ikakamilika? Maana nasikia kuna
mashamba yanauzwa, na huduma zote
zipo, hebu mwenye uelewa wa hili
jambo atupe maelezo yake
cc wadau wote.
 
Dah hamjui msemalo dingi yuko mjini anapeta karudi CCM akikupa historia yaliyompata haifai kumbeza wao wamesaidia watu kujua uelekeo wa mambo ukitaka kumpata kirahisi nenda Kampala international university na lawschool unampata yuko full
 
Jamani hivi huyu mwasheria aliyewahi kuwa Mbunge siku za nyuma nadhani kupitia NCCR kama sikosei, yuko wapi siku hizi?mbona hasikiki ...
MWENYE HABARI ZAIDI JUU YAKE AZIMWAGE HAPAJAMVINI...
khaa!!! Acha uboya wewe wenzako wanachangamkia fursa wewe unabaki na umbeya. Changamka acha u f al a
 
Mkuu ni vyema utambue Dr. Masumbuko Lamwai alikuwa ni mhadhiri pale UDSM-school of Law; Swali la kujiuliza kwa nini Dr.Lamwai haendelei na kibarua chake pale UDSM?

Kazi ya Lecturer yeyote katika University ni kufundisha, kuandika (to publish) na kufanya kazi ya kutoa ushauri wa kitaalamu (consultancy). Katika yote, kuandika (publishing) ni muhimu sana. Lecturer asipofanya utafiti na kuandika (to publish), anaweza kupoteza kazi. NAFIKIRI (lakini sina uhakika) kwamba hali hiyo ndiyo ilimpata Dr. Masumbuko Lamwai. Nimefikia conclusion hiyo baada ya kutoona publication (chapisho) lolote la Dr. Lamwai katika Local au International Journal kwa takribani miaka 10 tangu alipoanza harakati za siasa. I might be wrong but I stand to be corrected!![/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom