Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Yu wapi Dkt. Masumbuko Lamwai?

Msomi, mwanasheria Nguli wa Siasa za Mageuzi nchini aliyevuma mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Leo hii hasikiki kaishia wapi? Bado ni Wakili?
 
Msomi, mwanasheria Nguli wa Siasa za Mageuzi nchini aliyevuma mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Leo hii hasikiki kaishia wapi? Bado ni Wakili?
Yupo anatumwatumwa tu na Ghulam Dewji kwenye kesi zake.
 
Msomi, mwanasheria Nguli wa Siasa za Mageuzi nchini aliyevuma mfumo wa vyama vingi ulipoingia nchini. Leo hii hasikiki kaishia wapi? Bado ni Wakili?
Alikubali kutumika na Chama chakavu, kama kawaida yao wameisha mdampo
 
Kuna kipindi alikuwa ni lecturer tumaini university ya Dar, nafikiri bado yupo uko.
 
huyu bwana alivyoingia upinzani alikipata cha moto. hatakaa asahau. alirudi ccm akapewa ubunge wa kuteuliwa
Mwasumbuko hakuwa na wito wa kutumikia wananchi. Alitumwa na tumbo kutafuta maslahi. Kama angekuwa mpiganaji asingesalimu amri mapema hivyo.
Kama ilivyo kwa wasaliti, hakuaminika alikojipeleka, CCM.
 
Mwasumbuko hakuwa na wito wa kutumikia wananchi. Alitumwa na tumbo kutafuta maslahi. Kama angekuwa mpiganaji asingesalimu amri mapema hivyo.
Kama ilivyo kwa wasaliti, hakuaminika alikojipeleka, CCM.

Ntajie Hapa mpinzani asiyetumikia tumbo lake ndugu yangu. Acha Utoto waangalie watu Kwa jicho la sita. Tz yetu Hii. Bado mandhani chama Ndo issue. Shida nchi yetu ni Viongozi wathubutu na wananchi mazwazwa wasiopenda kujishughulisha na kukaa Kama wewe kupiga majungu tu nyuma ya keypad. Hamna lolote
 
Dr Lamwai alikuwa wakili wa Dr Kiruswa(CCM) kwenye kesi ya ubunge jimbo la Longido kasimamia kesi Onesmo Nangole(CHADEMA) akashindwa kesi.
 
Nyakati ngumu hazipiti ila watu wagumu hupita! Pumzika kwa amani wakili msomi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom