You're making a very big mistake to allow your wife to work..

You're making a very big mistake to allow your wife to work..

binadamu achungiki mkuu...
kama unawaza kumegewa,
ni kumjenga mkeo muishi kwa misingi ya uwazi,ukweli na uwajibikaji wa kifamilia.... lakini sio kwa wazo hilo,dunia sasa jomba kwa style hiyo....mtasanda.....kama fursa ipo ya kumfanya mkeo amake money....muongoze kwenye hiyo fursa.....
 
Sio kwa maisha ya sasa. Kuna mama namfahamu, mumewe alikuwa na hela sana, makampuni kadhaa, bahati mbaya akafariki. Mama hajui A wala B za kampuni za mzee, hana skills zozote za kufanya kazi, labda kuchoma vitumbua, watoto hawakushirikishwa kwa lolote.

Leo hii wanaishi maisha magumu kuliko masikini.

Mine will work, atafanya kazi tu coz hakuna namna nyingine.
 
Yaani mke aache kazi a deal na majukumu ya Nyumbani? Sijui huwa tunacalculate rate of return kwenye masuala kama hayo. Mke akiacha kazi kuna faida zipi na je asipoacha kuna hasara zipi. Ni vyema kuzijua

All in all Mke ni independent entity. Ananafasi ya kufanya maamuzi yake kama binadamu wengine mme upo kama msimamizi tu ila mke naye anaplan zake ndogo ndogo binafsi tofauti na za ndani ya familia.

Haya pia fikiria kila aliyeolewa akaacha kazi hivi nguvu kazi ya taifa ibakie tu majumbani kudeki, kuosha vyombo n.k ! Nchi itakuwa inaendelea kweli. Mkuu hili shauri lako limekengeuka.
 
Yaani mke aache kazi a deal na majukumu ya Nyumbani? Sijui huwa tunacalculate rate of return kwenye masuala kama hayo. Mke akiacha kazi kuna faida zipi na je asipoacha kuna hasara zipi. Ni vyema kuzijua

All in all Mke ni independent entity. Ananafasi ya kufanya maamuzi yake kama binadamu wengine mme upo kama msimamizi tu ila mke naye anaplan zake ndogo ndogo binafsi tofauti na za ndani ya familia.

Haya pia fikiria kila aliyeolewa akaacha kazi hivi nguvu kazi ya taifa ibakie tu majumbani kudeki, kuosha vyombo n.k ! Nchi itakuwa inaendelea kweli. Mkuu hili shauri lako limekengeuka.
And nakuwa surprised na mwanaume anayehisi mwanamke hana dreams apart from kuwa kwenye ndoa na kulea watoto. Sielewi mtu wa aina hiyo anawaleaje mabinti zake
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...


RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN


miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......


Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara


Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia


Narudia tena run run run
I agree 100%.Katika mahusiano ,mwanaume asikutoe katika malengo yako na ndoto zako sababu kesho yako au ya huyo mwanaume huijui anaijua ni Mungu tu
 
Kwa hiyo wewe ni boss wa mkeo?


Okeeeeyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyuyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
Duniani hapa, kila mtu ana uelewa wake, mitazamo yake na misimamo yake.

Kuna wanawake wengi tu wameajiriwa, na wana waume!! Kwangu mimi, mke wangu hawezi kuajiriwa! Mke wangu hawezi kuwa na mabosi wawili...PERIOD.

Hahaahaaa!!
 
Pole.
Ongea na mwenzio uweke msidizi mama

Kazi za ndani suo mchezo utazeeka umri si wako.

Wakati huo huo unafikiri ufanye nini ikuingizie kipato hata kama ni senti mbilimbili

Kuna kesho na keshokutwa na kama binadamu unahitaji hilo.
Thanks dear.
Nilijaribu ila nili fail coz sina msaidizi na pia nina mtoto wadogo.
Tulikubaliana kutoajiri binti ili mimi niwe nafanya na kazi za hapo nyumban.
Kiukweli amezima ndoto zangu siwez sema zote but nyingi coz hata my family sihusiki sana kwenye kuwasaidia.
 
Wanaume wameshindwa kuhudumia familia zao kwa 100% ndio maana wanawake wamelazimika kuingia mzigoni.
 
Nini karo hata wanja sinunui na nina shughuli nzuri tu nafanya....sio kwamba siwezi bali ni mume anayejua majukumu yake..... na fahari yake kutuhudumia. nitaingilia pale tu atakaposema na mpaka aseme umpige tafu kitu fulani au kiasi fulani ujue hali ngumu ngumu ngumu mno....


Kama wewe unamhudumia mkeo(na iwe kweli sio tambo za jf) ni vyema.

Ila in reality kuna wanaume wengi huwaachisha wake zao kwa gia kama za mleta uzi....

• Wake wanaishia kupauka hata hela ya pedi hawana.

Unajua hawaangalii kama mke alikuwa anapokea mf 1.2 kwa mwezi au kiasi chochote je ana uwezo wa kumpatia hizo kila mwezi au tambo tu????

• Kama mke ana mahitaji yake as binadamu

• kuna shida ndogondogo mke akiwa na kipato chake anaweza kuzicover bila kukusubiri

Kama unavyohudumia kwenu na yeye ana kwao hajatoka mtini .. ( hivi kuna raha gani mama mkwe au mama mzazi awe na shida hata ya laki 2 tu mke ukashindwa kumsaidia mpaka uombe kwa mume?????) Kuna raha gani kama chumvi imeisha ghafla usubiri hadi uombe kwa mume

● Nionavyo mimi (kutokana na kesi nilizokutana nazo) mwanaume anayetaka mke asifanye chochote
~ wengi huwa wafujaji...iwe kihisia au kimwili
~ wengine huwa malaya tu wanadhani wake zao hufanya hayo
~wengine wamejaa na inferiority complex
~ wengine wanyanyasaji....hataki mke ajishughulishe halafu hata sumni hampi.mpaka pedi mke akaombe kwa jirani kama sio kukata matambara. Kuna wengine hata ada hawalipi ila ugomvi mke akiwa na kitu.
Kuna kesi mke akiwa na kibiashara lazima mume amuibie hadi msingi mradi amrudishe nyuma

Na kesi nyingine nyingi.

Sishauri kwa kweli

I wish walioachishwa kazi na biashara waje hunu kutoa shuhuda wanaume mtaona aibu.....ila wakiwa jf tambo sio za tz hii ya viwanda....


Mkuu BADILI TABIA, kama umeolewa na mwanaume ambae anakuambia ulipe karo ya watoto shuleni na utoe pesa ya mboga, POLEE!

Majukumu yako wazi, kulea familia na kulisha familia, hilo ni jukumu la Baba!
Vilevile, baba ndiyo kichwa cha familia, kwa maneno mengine, ndiyo BOSS wa familia.

Kama nilivyosema kwenye nukuu hapo juu, mke wangu hawezi kuwa na "MABOSI" wawili!

Hahaahaaaa!! Yaani mimi nimepanga kwenda beach na mke wangu, eti tena kuna kidume mwingine kampangia mke wangu ziara ya kikazi, NEVER IN MY LIFE!
 
Hapo sasa

Ndio maana yule aliyesema mkewe hawezi kuwa na mabosi wawili nikajibu tu okeyyyyyyyy


Pale mume anapokuwa bosi

Hahahaha

Mke kazi utaacha tu


Hahahah


Kazi kweli kweli

Kama mume bosi......mke ni mwajiriwa??? Na watoto ni nani? Au watoto wa bosi???
Being husband and wife isnt about about one being the boss of the other its about two equal adults who have decided to live together in their lives because deep in their hearts they know they cant live happily without each other
they simply love each other so much that all they want is to sleep next to each other, talk and walk and experience the whole life and do all other things together

That should be the main reason and the main view of the marriage between two people

Sasa inashangaza wale ndugu zangu wasotaka wake zao kufanya kazi eti kisa wanataka wawe wao ndo wenye uwezo zaidi na mabosi kwa wake zao, while the whole marriage thing isnt about that
 
Tatizo tunaangalia wivu wa sasa na kisahau maisha ya kesho

Kama hana shida na kipato cha mkewe amwambie mshahara /faida anaopata mke akanunue viwanja vitawafaa usoni
Sio kwa maisha ya sasa. Kuna mama namfahamu, mumewe alikuwa na hela sana, makampuni kadhaa, bahati mbaya akafariki. Mama hajui A wala B za kampuni za mzee, hana skills zozote za kufanya kazi, labda kuchoma vitumbua, watoto hawakushirikishwa kwa lolote.

Leo hii wanaishi maisha magumu kuliko masikini.

Mine will work, atafanya kazi tu coz hakuna namna nyingine.
 
Yaani wanawake mmenishangaza sana dada/mama zangu!

Hamjionei huruma? How can you balance the two? Working and Homing?

Mifumo ya ajira rasmi nyingi tunaujua.. Unamfinyanga mwanamke mpk kichwa kinakuwa chamoto.. bado anatakiwa atoe quality service at home for the kids and do the domestics.. !

I may be wrong lakini mwanamke kufanya kazi ni mzigo mzito kwake kibaiolojia, kijamii, kihisia, kuliko kutokufanya kazi..

Halafu hapa kuna mnaochanganya mada; sijasema mwanamke asitafute kabisa kipato.. Hell no. Nimesema asifanye kazi kwa nature ya kufanya kazi ilivyo.. the whole thing of going to work and leave the house for hours, weeks or even months ikibidi..

Wives, quit your jobs and simamia nafasi yako!

Hivi hii dunia siku hizi inazungukaje?
 
Back
Top Bottom