You're making a very big mistake to allow your wife to work..

You're making a very big mistake to allow your wife to work..

Mimi sitaki afanye kazi... Na hata akifanya kazi pasiwepo mtu wa kuitwa bosi zaidi yake...bora nimfungulie biashara yake, mabosi wanaaribu sana wake za watu.... OVER
 
Sio kwa maisha ya leo, ukimpata mwenye kazi mwache na kazi yake na ukimpata ambaye hana kazi basi mpe walau mtaji afanye biashara...

Hiyo kazi yako huwezi jua kuna leo na kesho pia...

Jaribu kuwauliza wenye vyeti feki mziki wa kukosa kazi ulivyo
 
Akiwa mama wa nyumbani anaetegemea mume amuhudumie kesho Mungu akikuchukia watoto wako wataishije wakati mama amezoea kupewa??
Hatujaenda shule ili kuja kuwa house wives usituhadae na uzuri sijui nini.
 
Hii ina apply Kwa mwanaume mwenye kipato kikubwa Sanaa tena sana
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...


RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN


miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......


Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara


Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia


Narudia tena run run run
Natu_Run tu mana hakuna namna.
Unanambia niache kazi unajua shida walizopitia wazazi wangu mpaka kupata hela ya kunisomesha?
Hivi mwanamke mzazi kakusomesha ili uje ujitegemee ujikomboe wewe unaambiwa uache nawe unaacha unadhani hao wazazi waliojinyima wakakusomesha hawana akili.
Waliona mbele wakaamua kukupa Kitu kitakachokusaidia maishani.
Hata kama hujasoma mwanamke usikubali kuwa golikipa jishughulishe kumbuka kuna leo na kesho.
Maisha kusaidiana.
Mtoa mada acha kutudanganya.
 
Hata hivyo mwanaume mwenye mapenzi mema na mkewe hawez kumwmbia aache kazi au kujishughulisha, huo ni ufinyu wa mawazo tu kama cyo wivu bac kumkomoa
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...


RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN


miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......


Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara


Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia


Narudia tena run run run

Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
Ni muhanga wa kuacha kazi kwa kushawishiwa kufunguliwa biashara,
ni mwaka wa tano huu nipo home.
Siwezi achana nae coz ni mume wa ndoa sema ndo nimechakaa kama sanamu la Michelin
matunzo sifuri.
Zaidi ya kula na kulala sina huduma nipatazo hata nywele nimenyoa mana si kwa kuchakaa huku.
Nauishi msemo wa acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi.
Nipo tu nyumban.
 
Utakuwa umeolewa na mwanaume wa Dar
Hata ningeolewa na mwanaume wa pwani nini dar

Hao wanaopenda wake zao waache kazi wengi wao (sijasema kuwa wote...ila wengi wao) huidhia kuwanyanyasa

Mwisho mwanamke kiguu na njia ustawi wa jamii

Kuna wanaume wengi tu wanawaachisha wake zao kazi halafu wanawaachia 3000 au hawaachi kitu kabisa.....wapo wengine huanza kunyanyasa na kutukana wake zao kuwaita mizigo..........

La sishauri.....hata wakisema umeolewa na mwanaume wa dar (hata wakisema mwanaume wa ilala nini dar) wala haishtui

Kuna wanaume hawajui watoto wamekula nini wanavaa nini hata ada hawajui shilingi ngapi ila wanataka wake zao waache kazi


Nehi.nehi



Mwanamke mumeo akikwambia uache kazi ruuuuuuun run run run........
 
Pamoja na kuwa Mimi ni mwanaume, siafiki alisemalo mtoa hoja. Ukitaka familia ineemeke lazima uoe mwanamke msomi na awe na uhakika Wa kuingiza kipato. Huyu bado ni vijana wanaillusions hata sie enzi zile za balehe tuliona hivyo! Katika hali hiyo kila kijana ana wivu wa kuchapiwa. Hivi magolikipa hawitoi k?
Wanatoa sana tu....tena wanachapiwa vibaya mno

Kutoa k ni hulka ya mtu na sio kufanya kazi
 
Natu_Run tu mana hakuna namna.
Unanambia niache kazi unajua shida walizopitia wazazi wangu mpaka kupata hela ya kunisomesha?
Hivi mwanamke mzazi kakusomesha ili uje ujitegemee ujikomboe wewe unaambiwa uache nawe unaacha unadhani hao wazazi waliojinyima wakakusomesha hawana akili.
Waliona mbele wakaamua kukupa Kitu kitakachokusaidia maishani.
Hata kama hujasoma mwanamke usikubali kuwa golikipa jishughulishe kumbuka kuna leo na kesho.
Maisha kusaidiana.
Mtoa mada acha kutudanganya.
Hapo sasa

Anataka mpaka hela ya unga wa wazazi wako umuombe....ili ije siku aanzishe uzi jf au fb baba mkwe anaomba omba hela ya unga na mchele

Mwanaume anayekupenda atashirikiana na wewe kutimiza ndoto zako....wakati huo huo unamsapoti kitimiza ndoto zake huku.mkitimiza ndoto zenu

Huyo anayetaka atimize zake tu wewe ufanye kazi ya kupepea kuni tu hana nia nzuri...wengi wao huwa ni wafujaji

Imagine utumie miaka 16 au zaidi shule halafu uache kazi kirahisi rahisi tu.... kesho namkeshokutwa mkianguka nani atamuokota mwenzake? Au ndo.mnaanza kitangatanga kwa ndugu???
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
Ni muhanga wa kuacha kazi kwa kushawishiwa kufunguliwa biashara,
ni mwaka wa tano huu nipo home.
Siwezi achana nae coz ni mume wa ndoa sema ndo nimechakaa kama sanamu la Michelin
matunzo sifuri.
Zaidi ya kula na kulala sina huduma nipatazo hata nywele nimenyoa mana si kwa kuchakaa huku.
Nauishi msemo wa acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi.
Nipo tu nyumban.
Pole sana.

Wengi huwa ni hivyo.

Anakuachisha kazi na anashindwa (au kwa kusudi) kukuhudumia.

Pole


Tafuta hata biashara ndogo ndogo ufanye... hela ya kuitafuta mwenyewe ina raha yake....

Anachofanya mwenzio ni ufujaji na kuzamisha ndoto zako
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...


RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN


miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......


Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara


Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia


Narudia tena run run run






TENA RUN AWAYYYYYYYYYYYYYYYYY
 
Kwangu atafanya kazi na sitaki kujua pesa yake, ntaendelea kuprovide for my family, huwezi kuo graduate halafu awe house wife hiyo frustration zaidi
 
Pole sana.

Wengi huwa ni hivyo.

Anakuachisha kazi na anashindwa (au kwa kusudi) kukuhudumia.

Pole


Tafuta hata biashara ndogo ndogo ufanye... hela ya kuitafuta mwenyewe ina raha yake....

Anachofanya mwenzio ni ufujaji na kuzamisha ndoto zako

Thanks dear.
Nilijaribu ila nili fail coz sina msaidizi na pia nina mtoto wadogo.
Tulikubaliana kutoajiri binti ili mimi niwe nafanya na kazi za hapo nyumban.
Kiukweli amezima ndoto zangu siwez sema zote but nyingi coz hata my family sihusiki sana kwenye kuwasaidia.
 
Wanawake........

Mwanaume akikwambia acha kazi....

Run...

Mimi hhhhhhh
RUN

RUUUUUUUUUUUUUUN


miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......


Tunaona huko fb

Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara


Baadae hata hela ya sabuni hatoi

Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....

Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia


Narudia tena run run run
Duniani hapa, kila mtu ana uelewa wake, mitazamo yake na misimamo yake.

Kuna wanawake wengi tu wameajiriwa, na wana waume!! Kwangu mimi, mke wangu hawezi kuajiriwa! Mke wangu hawezi kuwa na mabosi wawili...PERIOD.

Hahaahaaa!!
 
Nakubaliana na wewe kwa asilimia 100.
Ni muhanga wa kuacha kazi kwa kushawishiwa kufunguliwa biashara,
ni mwaka wa tano huu nipo home.
Siwezi achana nae coz ni mume wa ndoa sema ndo nimechakaa kama sanamu la Michelin
matunzo sifuri.
Zaidi ya kula na kulala sina huduma nipatazo hata nywele nimenyoa mana si kwa kuchakaa huku.
Nauishi msemo wa acha kazi uone ilivyo kazi kupata kazi.
Nipo tu nyumban.
Pole sana.
Usife moyo endelea kupambana.
Ikifail hii unajaribu nyingine au unaimprove hiyo iliyofail lazima utatoka tu.
Usikate tamaa japo muda mwingine inakatisha tamaa ila usichoke utafanikiwa tu.
Mungu akujaalie ufanikiwe my dear.
I hope wengine watajifunza kupitia wewe.
 
Back
Top Bottom