Rey leonard
Member
- Dec 18, 2016
- 70
- 38
Kabisa ilo lazima liwe bomuKukiwa na wanaume 10 wenye mawazo kama yako, ni hatari kuliko bomu la nuclear.
Kabisa ilo lazima liwe bomuKukiwa na wanaume 10 wenye mawazo kama yako, ni hatari kuliko bomu la nuclear.
Pole sana.
Usife moyo endelea kupambana.
Ikifail hii unajaribu nyingine au unaimprove hiyo iliyofail lazima utatoka tu.
Usikate tamaa japo muda mwingine inakatisha tamaa ila usichoke utafanikiwa tu.
Mungu akujaalie ufanikiwe my dear.
I hope wengine watajifunza kupitia wewe.
Sijui watoto wake wa kike hatowapeleka shule?Wadanganye tu wenzio.
Na wazazi watumiao magharama yao kusomesha mabinti zao we unawaona ni mafala sana, kuwa kwao ni kheri hizo gharama waache kwakuwa mabinto zao ni kheri waolewe na kubaki majumbani kuliko kuwa na elimu ya kutafutia ajiraAgain, you are making a grave mistake for allowing your wife to get employed.. I want to glue this to your head brother...
You work hard, I mean you as a MAN should work really hard... to pay the dues...support the family... mkeo anapaswa atengeneze 'home' for both of you and your kids.. Huo ndio mgawanyo sahihi wa majukumu...
Mwanamke ana raha sana akiwa mwanamke!
Si heshima hata kidogo ndio mwanzo wa kudhalilika na kuchukuliwa poa kijamiiHapa nazungumzia uwajibikaji.. Kila mtu atambue nafasi yake na awajibike.. Mwanamke mzuri hawezi kukubali kwenda kufanya kazi, majukumu ya nyumbani anamwachia nani?
Halafu mwanamke kuwa housewife sio udhaifu, ni heshima kubwa mno..
Uko sahihi kabisaNatu_Run tu mana hakuna namna.
Unanambia niache kazi unajua shida walizopitia wazazi wangu mpaka kupata hela ya kunisomesha?
Hivi mwanamke mzazi kakusomesha ili uje ujitegemee ujikomboe wewe unaambiwa uache nawe unaacha unadhani hao wazazi waliojinyima wakakusomesha hawana akili.
Waliona mbele wakaamua kukupa Kitu kitakachokusaidia maishani.
Hata kama hujasoma mwanamke usikubali kuwa golikipa jishughulishe kumbuka kuna leo na kesho.
Maisha kusaidiana.
Mtoa mada acha kutudanganya.
Umeolewa?Wanawake........
Mwanaume akikwambia acha kazi....
Run...
RUN
RUUUUUUUUUUUUUUN
miezi 6 tu baada ya kuacha kazi utakuja kuomba ushauri kama sio jf basi fb......
Tunaona huko fb
Wanawachisha kazi...tena nzuri zinazolipa hasa...na kuwaachisha biashara
Baadae hata hela ya sabuni hatoi
Mpaka pedi inabidi uchane kanga.....
Ila hapa jf wanaume watajifanya kila.mmoja anahudumia familia
Narudia tena run run run
Ndugu, acha mawazo ya kulelewa, wewe kama mwanaume ni jukumu lako kumhudumia mkeo na kulisha familia, unataka mkeo awe na kipato kwa ajili ya nini? Mfungulie biashara, sio kuajiriwa, unafurahia nini mkeo anapokuacha kitandani alfajiri kuwahi kazini? By the way, mke kazi yake ni kutunza nyumba na kulea watoto, kalaghabaho ndugu..Pamoja na kuwa Mimi ni mwanaume, siafiki alisemalo mtoa hoja. Ukitaka familia ineemeke lazima uoe mwanamke msomi na awe na uhakika Wa kuingiza kipato. Huyu bado ni vijana wanaillusions hata sie enzi zile za balehe tuliona hivyo! Katika hali hiyo kila kijana ana wivu wa kuchapiwa. Hivi magolikipa hawitoi k?
Nadhani itakua wise kujiongelea wewe kama wewe binafsi,kila mtu ana maisha yake na labda niseme wengine sio wenye bahati ya kua na akili kama zako,au mwenye bahati yakukaa nyumbani kama mkeo kama unae,mimi kwamfano nafanya kazi sio kama mume wangu hana Alhamdulillah zakunitosha mimi na familia yangu zipo,lakini kumbuka nna ndugu jamaa na vile vile niwajibu wangu kum support mumewangu as long as tumeelewana,mwanamme ana familia yake mimi nna yangu yote nimuachie yeye atoe kila kitu na kusomesha watoto juu? ebu fikiria tena unaposema, siwezi kusema na meet all the needs and wants of my Home lakini i make sure my family wanakula chakula nilichopika mwenye,homework ntawasaidia au Dad wao atasaidi, anyway ni mengi tuishie hapa lakini kumbuka kua kila binadamu anasababau zake mpaka akamuachia mkewe kufanya kazi...Again, you are making a grave mistake for allowing your wife to get employed.. I want to glue this to your head brother...
You work hard, I mean you as a MAN should work really hard... to pay the dues...support the family... mkeo anapaswa atengeneze 'home' for both of you and your kids.. Huo ndio mgawanyo sahihi wa majukumu...
Mwanamke ana raha sana akiwa mwanamke!
Mwanamke mwenye kujitabua anajitahidi kutimiza majukumu yake,hasa anaejua value ya ndoa yake na anaeipenda familia yake..Hapa nazungumzia uwajibikaji.. Kila mtu atambue nafasi yake na awajibike.. Mwanamke mzuri hawezi kukubali kwenda kufanya kazi, majukumu ya nyumbani anamwachia nani?
Halafu mwanamke kuwa housewife sio udhaifu, ni heshima kubwa mno..
Kwa hiyo unafanya mazoezi ya uboss kwa mkeo.Mkuu BADILI TABIA, kama umeolewa na mwanaume ambae anakuambia ulipe karo ya watoto shuleni na utoe pesa ya mboga, POLEE!
Majukumu yako wazi, kulea familia na kulisha familia, hilo ni jukumu la Baba!
Vilevile, baba ndiyo kichwa cha familia, kwa maneno mengine, ndiyo BOSS wa familia.
Kama nilivyosema kwenye nukuu hapo juu, mke wangu hawezi kuwa na "MABOSI" wawili!
Hahaahaaaa!! Yaani mimi nimepanga kwenda beach na mke wangu, eti tena kuna kidume mwingine kampangia mke wangu ziara ya kikazi, NEVER IN MY LIFE!
Wakati wa balehe tunapenda sana kugeneralise sana, shida ikiwa kuogopa kuchapiwa. Nadhani na nyie mnapopevuka mnakuwa na ndoto za ndalinacha kama sie. Akikua atajifunza. Hii yote inatokana na tamaduni tofauti hasa unyanyasaji wa akinamama. Kama hutaki afanyekazi kwa nini anaenda shule?Nadhani itakua wise kujiongelea wewe kama wewe binafsi,kila mtu ana maisha yake na labda niseme wengine sio wenye bahati ya kua na akili kama zako,au mwenye bahati yakukaa nyumbani kama mkeo kama unae,mimi kwamfano nafanya kazi sio kama mume wangu hana Alhamdulillah zakunitosha mimi na familia yangu zipo,lakini kumbuka nna ndugu jamaa na vile vile niwajibu wangu kum support mumewangu as long as tumeelewana,mwanamme ana familia yake mimi nna yangu yote nimuachie yeye atoe kila kitu na kusomesha watoto juu? ebu fikiria tena unaposema, siwezi kusema na meet all the needs and wants of my Home lakini i make sure my family wanakula chakula nilichopika mwenye,homework ntawasaidia au Dad wao atasaidi, anyway ni mengi tuishie hapa lakini kumbuka kua kila binadamu anasababau zake mpaka akamuachia mkewe kufanya kazi...
Asubiri tu apate wa kufanana naye eishhhhhhDunia ya leo ni ya kumwachisha mtu kazi kweli na kuwa na kipato kimoja ' to pay the dues'?!
Kwa maisha ya sasa every penny counts.
Wakati wa balehe tunapenda sana kugeneralise sana, shida ikiwa kuogopa kuchapiwa. Nadhani na nyie mnapopevuka mnakuwa na ndoto za ndalinacha kama sie. Akikua atajifunza. Hii yote inatokana na tamaduni tofauti hasa unyanyasaji wa akinamama. Kama hutaki afanyekazi kwa nini anaenda shule
Nadhani mawazo yake na wengine yanatofautiayana sanaa,au anakotoka huenda kua wana tabia hiyo simlaumu sana ndio mambo ya dunia..
Wewe kweli hamnazoHapa nazungumzia uwajibikaji.. Kila mtu atambue nafasi yake na awajibike.. Mwanamke mzuri hawezi kukubali kwenda kufanya kazi, majukumu ya nyumbani anamwachia nani?
Halafu mwanamke kuwa housewife sio udhaifu, ni heshima kubwa mno..