You're making a very big mistake to allow your wife to work..

You're making a very big mistake to allow your wife to work..

Mimi sitaki afanye kazi... Na hata akifanya kazi pasiwepo mtu wa kuitwa bosi zaidi yake...bora nimfungulie biashara yake, mabosi wanaaribu sana wake za watu.... OVER
Mmh wewe nae na viwivu vya ajabu ajabu huko kwenye biashara wanaume hawapo au wamewekewa kufuli?!!#
 
Wanaume wa sikuhizi wanakimbia majukumu[emoji23].
mimi nikifanya kazi jiandae kupandwa kichwani.
ntakupanda kichwani tu hakuna namna!
 
Pamoja na kuwa Mimi ni mwanaume, siafiki alisemalo mtoa hoja. Ukitaka familia ineemeke lazima uoe mwanamke msomi na awe na uhakika Wa kuingiza kipato. Huyu bado ni vijana wanaillusions hata sie enzi zile za balehe tuliona hivyo! Katika hali hiyo kila kijana ana wivu wa kuchapiwa. Hivi magolikipa hawitoi k?
Tena gori kipa ndo anatoa k kuliko mfanyakazi tena wanatoaga hapo hapo nyumbani kwao kwenye kitanda cha mumewe nyumba inakuwa hainawatu mchana hasa hawa wenye mageti kuna jirani yangu juzi kafumaniwa na mumewe alirudi mchana kwa dharula bila taarifa
 
Nijikute tu wanangu hawasomi. Mama yao mwenyewe nilienda shule, sembuse wao. Design ya wanaume wenye mawazo ya ujima kama hawa ndo wapo abusive sana kwa wake zao, wakiamini wanawake zao wataendelea tu kuwaabudu.
Kinachowafanya wawaachishe kazi ni ili wawpeleke mbwelambwela
 
Miaka yote wanawake wanafanya kazi na kuhudumia nyumba...... hakuna kipya ni mfumo tu wa kazi
Yaani wanawake mmenishangaza sana dada/mama zangu!

Hamjionei huruma? How can you balance the two? Working and Homing?

Mifumo ya ajira rasmi nyingi tunaujua.. Unamfinyanga mwanamke mpk kichwa kinakuwa chamoto.. bado anatakiwa atoe quality service at home for the kids and do the domestics.. !

I may be wrong lakini mwanamke kufanya kazi ni mzigo mzito kwake kibaiolojia, kijamii, kihisia, kuliko kutokufanya kazi..

Halafu hapa kuna mnaochanganya mada; sijasema mwanamke asitafute kabisa kipato.. Hell no. Nimesema asifanye kazi kwa nature ya kufanya kazi ilivyo.. the whole thing of going to work and leave the house for hours, weeks or even months ikibidi..

Wives, quit your jobs and simamia nafasi yako!

Hivi hii dunia siku hizi inazungukaje?
 
Tena gori kipa ndo anatoa k kuliko mfanyakazi tena wanatoaga hapo hapo nyumbani kwao kwenye kitanda cha mumewe nyumba inakuwa hainawatu mchana hasa hawa wenye mageti kuna jirani yangu juzi kafumaniwa na mumewe alirudi mchana kwa dharula bila taarifa
Bodaboda huwa wanajifaidiaga hawa sometimes.....
 
Being husband and wife isnt about about one being the boss of
Being husband and wife isnt about about one being the boss of the other its about two equal adults who have decided to live together in their lives because deep in their hearts they know they cant live happily without each other
they simply love each other so much that all they want is to sleep next to each other, talk and walk and experience the whole life and do all other things togethe
Hapo sasa

Ndio maana yule aliyesema mkewe hawezi kuwa na mabosi wawili nikajibu tu okeyyyyyyyy

Pale mume anapokuwa bosi

Hahahaha

Mke kazi utaacha tu

Hahahah

Kazi kweli kweli

Kama mume bosi......mke ni mwajiriwa??? Na watoto ni nani? Au watoto wa bosi???

That should be the main reason and the main view of the marriage between two people

Sasa inashangaza wale ndugu zangu wasotaka wake zao kufanya kazi eti kisa wanataka wawe wao ndo wenye uwezo zaidi na mabosi kwa wake zao, while the whole marriage thing isnt about that

the other its about two equal adults who have decided to live together in their lives because deep in their hearts they know they cant live happily without each other
they simply love each other so much that all they want is to sleep next to each other, talk and walk and experience the whole life and do all other things together

That should be the main reason and the main view of the marriage between two people

Sasa inashangaza wale ndugu zangu wasotaka wake zao kufanya kazi eti kisa wanataka wawe wao ndo wenye uwezo zaidi na mabosi kwa wake zao, while the whole marriage thing isnt about that
Boss wa mkewe huyu

Hahahaha

Sasa naelewa kwa nini watu wanasema "ndoa ngumu"
Kwa hiyo wewe ni boss wa mkeo?

Okeeeeyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyuyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
 
BADILI TABIA, kwani neno Boss unalielewaje? By the way nimeliwekea alama" " kuonyesha kuwa linaweza kuwa na translations nyingi, hilo hukuliona mkuu au umeamua tu kuhamaki?

If you real hate the word BOSS, why do you want to go looking for jobs out there, where there is a lot of bosses?

nasrimgambo yeye anasema yeye na mke wake ni equal adults!

I am not equal to my wife, mimi ndiyo kiongozi wa familia, hata nikijiita BOSS ni sawa tu kwa kuwa mke wangu ni msaidizi na mshauri wangu tu, mimi ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho.

Humu wengi wenu ni waumini wa uislamu na ukristo, sijui ni wapi imesemwa mwanamke afanye kazi, maana Biblia imesema mwanamke azae kwa uchungu na mwanaume ale kwa jasho, hamjui tafsiri yake? MY WIFE WILL NEVER GET AJOB!
 
Boss wa mkewe huyu

Hahahaha

Sasa naelewa kwa nini watu wanasema "ndoa ngumu"
Ndoa zinakuwa ngumu kwa sababu, you want to think that you and your husband are equal, you dont want to let your husband be The Boss! (na hili neno Boss limewauma kweli kweli, and yet, mnataka mkafanye kazi kwa maboss)
 
Pole.
Ongea na mwenzio uweke msidizi mama

Kazi za ndani suo mchezo utazeeka umri si wako.

Wakati huo huo unafikiri ufanye nini ikuingizie kipato hata kama ni senti mbilimbili

Kuna kesho na keshokutwa na kama binadamu unahitaji hilo.

Thanks dear.
Ubarikiwe kwa ushauri.
 
Ambao hawajamuelewa mtoa mada watakuwa wana vyeti feki,
 
Ndoa zinakuwa ngumu kwa sababu, you want to think that you and your husband are equal, you dont want to let your husband be The Boss! (na hili neno Boss limewauma kweli kweli, and yet, mnataka mkafanye kazi kwa maboss)
Neno boss halijamuuma mtu

Ila limesikitisha

Kwa maana inaonyesha aina ya ndoa...tunaziona ndoa za mume ni boss
Zilivyo huku kitaa.....

Ndugu ndoa ya mume boss inajulikana

Ndoa ya mume kichwa inajulikana

(Na hizi ni ndoa mbili tofauti..... kuna tofauti ya kuwa kichwa na kuwa boss...usizichangamanishe)
 
Kwani mkuu wewe unajua kuwa Boss ni kufanyaje?
Neno boss halijamuuma mtu

Ila limesikitisha

Kwa maana inaonyesha aina ya ndoa...tunaziona ndoa za mume ni boss
Zilivyo huku kitaa....

Ndugu ndoa ya mume boss inajulikana

Ndoa ya mume kichwa inajulikana

(Na hizi ni ndoa mbili tofauti..... kuna tofauti ya kuwa kichwa na kuwa boss...usizichangamanishe)
 
BADILI TABIA, kwani neno Boss unalielewaje? By the way nimeliwekea alama" " kuonyesha kuwa linaweza kuwa na translations nyingi, hilo hukuliona mkuu au umeamua tu kuhamaki?

If you real hate the word BOSS, why do you want to go looking for jobs out there, where there is a lot of bosses?

nasrimgambo yeye anasema yeye na mke wake ni equal adults!

I am not equal to my wife, mimi ndiyo kiongozi wa familia, hata nikijiita BOSS ni sawa tu kwa kuwa mke wangu ni msaidizi na mshauri wangu tu, mimi ndiyo mwenye maamuzi ya mwisho.

Humu wengi wenu ni waumini wa uislamu na ukristo, sijui ni wapi imesemwa mwanamke afanye kazi, maana Biblia imesema mwanamke azae kwa uchungu na mwanaume ale kwa jasho, hamjui tafsiri yake? MY WIFE WILL NEVER GET AJOB!
Mithali 31 inahusu mke mwema.

13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.

14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.

31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni
 
Isije kuwa BADILI TABIA wewe unajua boss ili awe boss lazima awe mkali au unajua boss ni kuajiri watu, au boss ni kunyanyasa mkeo, au boss ni kutosikiliza mtu?!

Wewe unalielewaje neno boss, inawezekana una definition yako ndo maana umesikitika sana.
 
Ndugu, acha mawazo ya kulelewa, wewe kama mwanaume ni jukumu lako kumhudumia mkeo na kulisha familia, unataka mkeo awe na kipato kwa ajili ya nini? Mfungulie biashara, sio kuajiriwa, unafurahia nini mkeo anapokuacha kitandani alfajiri kuwahi kazini? By the way, mke kazi yake ni kutunza nyumba na kulea watoto, kalaghabaho ndugu..
Mke anayejitambua awe mwajiriwa au mama wa nyumbani siku zote za uhai wake ni wa kwanza kutoka kitandani na wa mwisho kuingia kitandani. Labda awe mgonjwa. Kwani kuna shida gani mke akimsadia mume wake kuhudumia familia? Mbona this is the joy of many women? At least wale ninaowajua.
 
Mithali 31 inahusu mke mwema.

13 Hutafuta sufu na kitani; Hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo.

14 Afanana na merikebu za biashara; Huleta chakula chake kutoka mbali.

16 Huangalia shamba, akalinunua; Kwa mapato ya mikono yake hupanda mizabibu.

18 Huona kama bidhaa yake ina faida; Taa yake haizimiki usiku.

31 Mpe mapato ya mikono yake, Na matendo yake yamsifu malangoni
Word

Team kukataza kufanya kazi walione
 
Back
Top Bottom