Mkuu unajua wanavyosema ishi na mwanamke kwa akili sana hawakumaanisha wewe uwe na GPA ya 4, mkeo awe na chini ya 4 daima..
no, wanawake wa kileo sio kama wa jana, uwezi kumfuga mwanamke...alafu kwanza unatakiwa kujua yafuatayo....
1. watu mjini tunawaruhusu wake zetu kufanya kazi lakini mshahara wake wala hatujihusishi nao, tunawapa sense of indipendence lakini nyumbani ada, chakula, magari ulinzi na mengineyo yote ni mimiiiii..yeye akiamua ku tip in its her on will.
2. mwanamke kiumbe cha ajabu, ukiwaza akae ndani utamjengea picha ya uanaume wa kweli wewe ila in long run ataona anakandamizwa..unakuja kushangaa shamba boy anakulia mzigo kiulainiiiii ..wewe unajiona mwanaume kumbe attention ndogo kakosa kaipata ndani ya fence...
3. wanawake wanapenda kukubarika, yani kama ua..ua lapendeza lanawili,,sasa iweje wewe unataka ua ulifungie ndan litanyauka mkuu..liache nje lisifiwe kidogo, lipate viwame wa kazini ajichanganye kidogo apanuke ubongo na apo ndipo kesho anakushauri mambo ya msingi endelevu...imagine exposure unayopata wewe plus anayopata mkeo mkiichanganya hatua yake lazma iwe kuliko exposure ya mtu mmoja mkuu
4. ishi na mwanamke kwa akili na sio kwa hofu,,wewe unajificha kwenye thread kwa gear ya uanaume, ila the main root ni insecurity, its either you love too much beyond repair, mkeo mzuriii sana unahofia kuibiwa kila dakika, una michepuko una hela so unahisi mkeo atakutana na boya akamchepusha, una u.bo.o mdogo compared kwa maumbile ya mkeo /shape yake kubwa unahisi umbile lako halimpi joto tosha..nk
5. mkuu pata picha watoto wa mtaa mzima wanapitiwa na school bus,wanao wankua home schooled kisa u want the best for them, do you think they will grow up psychologically inclined? waachie waende shule waka enjoy na wenzao wajifunze kitu..mtembea bure sio sawa na mkaa bure kaka..the same applies to wanawake, unamuwekea range ndani akitoka nalo anaenda sokoni anarudi...unafikiri hata akipishana na mke wangu na ki starlet cha mkopo hato mdindia road, maana anajiamini anajua ata akimpa hi ataona mwenzie ana sura ya kikaz, sio gari kubwa limejaa nyanya na ananuka mchuzi mchuzi tuuu...
anyways i hope you get my point bro/lady/shemale/alien etc