You're making a very big mistake to allow your wife to work..

You're making a very big mistake to allow your wife to work..

Mke anayejitambua awe mwajiriwa au mama wa nyumbani siku zote za uhai wake ni wa kwanza kutoka kitandani na wa mwisho kuingia kitandani. Labda awe mgonjwa. Kwani kuna shida gani mke akimsadia mume wake kuhudumia familia? Mbona this is the joy of many women? At least wale ninaowajua.
Ni kweli, wa kwanza na wa mwisho kuingia na kutoka kitandani, lakini ni katika kutimiza majukumu yake kama mke, sio anakuwa wa kwanza kuamka eti anawahi kiwandani kukeleza vyuma, NO!, au eti anachelewa kuja homu alikuwa porini kuchana mbao, hiyo nayo hapana, akusaidie kuhudumia familiaa katika ktika shughuli zinazoendana nae, sio ajira.
 
Ukwel unaoumiza ndo huo.Mzungu hataki mke akae home atazaa sana afu malengo Yao wazungu hayatatimia..
 
Hahaahaaa! Heaven Sent, nakubaliana na hilo andiko la mithali, kinachoongelewa hapo ni kazi za mikono za mwanamke au biashara, sio mke aingie kwenye workforce kwa maana ya ajira.
Mmh sio kila mwanamke anamanage biashara, kinachotakiwa ni mtu kufanya kazi. Kila mtu ashinde shambani unafikiri kulima mchezo Eeeh? .
 
Mmh sio kila mwanamke anamanage biashara, kinachotakiwa ni mtu kufanya kazi. Kila mtu ashinde shambani unafikiri kulima mchezo Eeeh? .
Na mfumo dume tulionao unakwenda kushinda shamba na jua kali, ngozi imekua ngumu hata fashion fair inakataa na mpunga ukivuna mume anauza ili apate mahari ya kuolea mke wa pili.
 
Na mfumo dume tulionao unakwenda kushinda shamba na jua kali, ngozi imekua ngumu hata fashion fair inakataa na mpunga ukivuna mume anauza ili apate mahari ya kuolea mke wa pili.
Hahaha umesema kweli, maana hawa kwa kuoa wake wengi hawajambo
 
Huu uzi unanishawishi kufua nguo maana povu bwerere kutoka kwa mama zetu.Hayo ni mawazo tu ya mtu binafsi kwa sababu alichokieleza mtoa mada hata baadhi ya wanawake wanakiunga mkono.So wea izi olu zosi povu kamingi furom?
 
Badilika kaka labda hayo ufanye kwa mkeo uliemtoa kule Kondoa ndani ndani. tena ukome wanawake soma ktk level tofauti toka ngazi ya cheti hadi PhD. akae akupikie km nani we uzae watoto wa kike ufanye hayo. Kwa upuuzi huo usilete mada hizi tena.
 
Hapa nazungumzia uwajibikaji.. Kila mtu atambue nafasi yake na awajibike.. Mwanamke mzuri hawezi kukubali kwenda kufanya kazi, majukumu ya nyumbani anamwachia nani?

Halafu mwanamke kuwa housewife sio udhaifu, ni heshima kubwa mno..
Sioni kama wewe in muwajibikaji. Una uwezo gani wa kutunza nyumba na kujiandaa uzeeni na kusomesha watoto shule nzuri,au unategemea hizi za bure elimu ?
 
MY WIFE WILL NEVER GET AJOB![/QUOTE]
Did you mean,your wife will never get a job, or will never be employed?
 
Ni kweli, wa kwanza na wa mwisho kuingia na kutoka kitandani, lakini ni katika kutimiza majukumu yake kama mke, sio anakuwa wa kwanza kuamka eti anawahi kiwandani kukeleza vyuma, NO!, au eti anachelewa kuja homu alikuwa porini kuchana mbao, hiyo nayo hapana, akusaidie kuhudumia familiaa katika ktika shughuli zinazoendana nae, sio ajira.

Hizi ni enzi zingine, wapo wake wengi wanafanya kazi na bado wanatimiza majukumu yao ya kifamilia tena kwa ubora wa hali ya juu kuliko mama wa nyumbani. Haijalishi atajihusisha na nini but what I know for sure lazima kila mke/mama mwenye maono ajue kutafuta income ya kutunza familia yake. Kama hutaki akereze vyuma then mtafutie cha kufanya, asibaki kuwa mama wa nyumbani. Tumeshuhudia familia nyingi zikipoteza mwelekeo mazima pale baba anafariki mama hajui aanzie wapi.
 
Again, you are making a grave mistake for allowing your wife to get employed.. I want to glue this to your head brother...

You work hard, I mean you as a MAN should work really hard... to pay the dues...support the family... mkeo anapaswa atengeneze 'home' for both of you and your kids.. Huo ndio mgawanyo sahihi wa majukumu...

Mwanamke ana raha sana akiwa mwanamke!
Mkuu unajua wanavyosema ishi na mwanamke kwa akili sana hawakumaanisha wewe uwe na GPA ya 4, mkeo awe na chini ya 4 daima..
no, wanawake wa kileo sio kama wa jana, uwezi kumfuga mwanamke...alafu kwanza unatakiwa kujua yafuatayo....
1. watu mjini tunawaruhusu wake zetu kufanya kazi lakini mshahara wake wala hatujihusishi nao, tunawapa sense of indipendence lakini nyumbani ada, chakula, magari ulinzi na mengineyo yote ni mimiiiii..yeye akiamua ku tip in its her on will.
2. mwanamke kiumbe cha ajabu, ukiwaza akae ndani utamjengea picha ya uanaume wa kweli wewe ila in long run ataona anakandamizwa..unakuja kushangaa shamba boy anakulia mzigo kiulainiiiii ..wewe unajiona mwanaume kumbe attention ndogo kakosa kaipata ndani ya fence...
3. wanawake wanapenda kukubarika, yani kama ua..ua lapendeza lanawili,,sasa iweje wewe unataka ua ulifungie ndan litanyauka mkuu..liache nje lisifiwe kidogo, lipate viwame wa kazini ajichanganye kidogo apanuke ubongo na apo ndipo kesho anakushauri mambo ya msingi endelevu...imagine exposure unayopata wewe plus anayopata mkeo mkiichanganya hatua yake lazma iwe kuliko exposure ya mtu mmoja mkuu
4. ishi na mwanamke kwa akili na sio kwa hofu,,wewe unajificha kwenye thread kwa gear ya uanaume, ila the main root ni insecurity, its either you love too much beyond repair, mkeo mzuriii sana unahofia kuibiwa kila dakika, una michepuko una hela so unahisi mkeo atakutana na boya akamchepusha, una u.bo.o mdogo compared kwa maumbile ya mkeo /shape yake kubwa unahisi umbile lako halimpi joto tosha..nk
5. mkuu pata picha watoto wa mtaa mzima wanapitiwa na school bus,wanao wankua home schooled kisa u want the best for them, do you think they will grow up psychologically inclined? waachie waende shule waka enjoy na wenzao wajifunze kitu..mtembea bure sio sawa na mkaa bure kaka..the same applies to wanawake, unamuwekea range ndani akitoka nalo anaenda sokoni anarudi...unafikiri hata akipishana na mke wangu na ki starlet cha mkopo hato mdindia road, maana anajiamini anajua ata akimpa hi ataona mwenzie ana sura ya kikaz, sio gari kubwa limejaa nyanya na ananuka mchuzi mchuzi tuuu...

anyways i hope you get my point bro/lady/shemale/alien etc
 
Back
Top Bottom