Your dream car, your dream house in less than 3yrs

Your dream car, your dream house in less than 3yrs

Mkuu Billionaire, I wish ningepata nafasi kuwa Dar walahi ningefanya juu chini kutafura fursa hii, je kwa ss ambao tuko mikoanai tunafanyaje!?

barikiwa
 
KIWAVI, Huu si MKOPO na tena SI AJIRA, bali ni fursa, fursa ya partnership with International Co., waweza kuifanya ukiwa katika ajira yako, ama ukiwa katika biashara yako au mahali popote, yaweza fanywa na wanafunzi, especially wa vyuo, na kujilipia ada lakini zaidi kujiakikishia si ajira bali kuwa mwajiri baada ya miaka mitano na kampuni hii, ndio ukiwa serious ndani ya miaka mitano waweza kuwa mwajiri badala ya mwajiriwa. HII INATEGEMEA SANA NA MAONO YA MTU.
Hizo ni loan tu acha fixi
 
Kuwajangili tu
mpaka miaka mitano loh tembo c wameisha wote
 
Mkuu Billionaire, I wish ningepata nafasi kuwa Dar walahi ningefanya juu chini kutafura fursa hii, je kwa ss ambao tuko mikoanai tunafanyaje!?

barikiwa

Mkuu Kiresua, fursa ni kwa yeyote na popote, tunakuja mikoani pia, wiki hii tutakuwa Dom, then tutaelekea kanda ya ziwa, je uko mkoa gani weye
 
Happy New year to you all!

What is your resolution for this 2015?? better home, happy life or something else?? you know.

Well, we have good news, DREAMS COME TRUE, more cars to be awarded this year, starts with this January 31 at BELMONTE HOTEL.

You are all invited to see for yourself, remember its not even 3 years. for those who want to attend this function, just PM, will give you the logistics.

Cheers.



car 8.jpgcar fund.jpgcar fund 2.jpg
 
"Success is simply solving problems. Sure, some things are complicated, but if you take it one piece at a time--solve the problems, put it back together--you can’t believe the enterprise you could build." -- Jim Rohn
 
forever living, gnld, smell here

networking.....
 
Forever sort of. crazy fuc,ken networking business jamaa anazungukazunguka, biashara hii inaufhalilishaji, ya kitumwa, matajiri wanaish huko wewe unabwabwaja africa Tanxania.

Majamaa wanagear za kishamba, wanatufanya sisi watumwa. Someni vijitabu vya kijasilia mali mjiajiri wenyewe .

Self employment ndio jibu la uwongo na kitendawili hicho.

Tanzanian tulupata uhuru mwaka 1961 lakin naona tunatafuta uhuru wa kweli leo, binafsi naanza kuunusa, panga ratiba zako, keep time, usipoteze muda na wek uvivu pembeni.

Fanya biashara ama kilimo huku ukisoma vitabu na rafiki zako wawe watu wanye mafanikio, tenga muda wa kuingia library public au nyumbn kwako. Tafsir hiyo lugha ya Jim Rohn Uoanishe na maneno yangu.


nachukia watu wanaoleta DECI na benki za kiwizi kidhalilishaji. hivi nani hajui utapeli??? Ukweli ni kwamba Tanzania wengi wetu tumeathiriwa na elimu mbaya, mfumo mbaya, Kiwosaki, thinking Big. Elimu ya kujitegemea. Tujitegemee kijasilia jamani.

Tafakarini chukueni hatua
 
Success Is Easy, but so Is Neglect

People have asked me how I became successful when, at the same time, many of the people I knew did not. The answer is simple: The things I found to be easy to do, they found to be easy not to do. I found it easy to set the goals that could change my life. They found it easy not to. I found it easy to read the books that could affect my thinking and my ideas. They found that easy not to. I found it easy to attend classes and seminars, to get around other successful people. They said it probably really wouldn't matter. They neglected to do the basic, easy things that I made priority.


The main reason most people are not doing as well as they could and should can be summed up in a single word: neglect. Because it is not for a lack of money-banks are full of money. It is not for the lack of opportunity-America, and much of the free world, continues to offer the most unprecedented and abundant opportunities in the last 6,000 years of recorded history. It is not for the lack of books-libraries are full of books, and they are free. It is not our schools-classrooms are full of good teachers. We have plenty of ministers, leaders, counselors and advisors to guide us. Everything we would ever need to become rich and powerful and sophisticated is within our reach.

by Jim Rohn


Je kwa kipato chako cha sasa itakuchukua muda gani kumiliki Gari nzuri (hadi Tsh 150M) na nyumba nzuri (hadi Tsh 700M) ya ndoto yako? pasio kuiba au ufisadi au escrow. nilipiga hesabu, mshahara wangu ulikuwa Tsh 684,000 Gross, Iwapo nitaliwa kama ilivyo ingenichukua miezi 1242 sawa na miaka 103, je nitakuwa wapi muda huo nami natamani kuishi maisha mazuri sasa? (Ki ukweli nawe pia watamani kuishi maisha mazuri, kuwa na gari zuri na si bora gari, kuwa na nyumba nzuri na si bora nyumba)

"Whatever the mind of man can CONCEIVE and BELIEVE it can ACHIEVE".
It's CONFIRMED! You can own your dream car and dream house in less than 3 years, more people to get their cars this year, starts with this Sat 31st, at Blue pearl Hotel from 11am, come and find out how you too can achieve your dream in less than 3yrs, attendance is by invitation, are you interested? just PM will give you the logistics,


Come, Be inspired, Be motivated, and Be fired up
 
Wiliam car fund.jpg

Hongera sana Mr and Mrs Mbezi, hakika "Thoughts are things"
its true,
"Whatever the mind of man can CONCEIVE and BELIEVE it can ACHIEVE"


This is just the beginning, More cars to be awarded this year, we have more than 5 qualifiers so far, all the best.
 
"Your time is limited, so don't waste it living someone else's life. Don't be trapped by dogma - which is living with the results of other people's thinking. Don't let the noise of others' opinions drown out your own inner voice. And most important, have the courage to follow your heart and intuition"
.
Steve Jobs
 
blog4urine.jpg

Some of the products offered by Edmark, come one come all...
 
Sijakuelewa
(stori ni ndefu)
naomba uonyeshe hesabu rahisi
nitapata gari kwa muda gani?
na kwa sh ngapi.?.....
 
Back
Top Bottom