Your dream car, your dream house in less than 3yrs

Tatizo nyinyi watu wa network marketing mnaving'ang'anizi kama gundi...kama unaona watu hawakuelewi au hawataki achana nao hizo fursa kula na ndugu zo au na wale wachache walio elewa tuache sisi vichwa maji yuendeleee kuuza maduka kwa wahindi maana hatuelewi vya kutosha kuweza kupata kazi za ndoto zetu.
Nimeona unacopy sana maandinko ya bible ikimaanisha unaamini maandiko basi amini mungu kaumba watu wa namna mbili mbili,wanaojielewa na wasio jielewa,waajiri na wajiriwa,matajiri na masikini n.k n.k sasa sisi tusie elewa tuache na kamwe usitumie nguvu na misuli mingi kutufundisha mwishowe utaambulia matusi bure au dharau.
My intake haikuandikwa kua kila mtu ataishi kwa kubonyeza button ya kompyuta kama ulivyosema,nyie nendeni huko ujeruman sisi tutabaki hapahapa kariakoo na kama nyumba na gari tutavipatia hapahapa
OVER.
 
Next millionaire nimepitia uzi wako hatua kwa hatua,mstari kwa mstari,hii ikijumuisha kufuatilia pia namna unavyo toa majibu yako.Na nimejifunza kitu kutoka kwako;kwanza nimeona huna pupa ktk kujibu hoja,pili unajibu hoja kwa maelezo ya kutosha na pasipo jazba na kejeli(hii ni hekima),tatu nimependa msimamo wako na naman unavyo husianisha maandiko,vitabu mbalimbali na hali halisi ya maisha ktk kuelezea jambo.kaka mm nakupa hongera sana kwa hekima uliyo nayo na Mungu atukuzwe kwa kukukirimia hiyo hekima.Nitakutafuta ktk numba yako kwa msaada zaidi.Hongera sana.MWENYE HEKIMA HUTAMBULIKA KWA MAJIBU YAKE,NA WALA SI MWEPESI WA HASIRA ILA NI MNYENYEKEVU NA AJISHUSHAYE,wapendwa hebu tujaribu kujifunza hekima na si kumbilia kujibu na kutoa shutuma pasi kutafakari na kupima kwanza(tusikatae kila tunachoambia pasipo kuchunguza kwanza,na tusikubali kila kitu pasipo kutakari kwa kina pia).Baraka tele kwako Nxt millionaire,nimependa sana majibu yako!
 
Ninyi mnafaidika vip au mnagawa hela tu?

Ingekuwa ni kugawa pesa kusingekuwa na neno QUALIFY, hakuna pesa za bure, bali fanya kazi kisha pesa itafata, FIKIRIA WENGINE KWANZA, SAIDIA WATU WENGI ZAIDI, PENDA KILE UFANYACHO NA UKIFANYE KWA MOYO MMOJA NDIPO PESA ZITAKUJA. HAKUNA PESA, GARI WALA NYUMBA YA BURE.
 
The majority of people who fail to accumulate money suffient for their needs are, generally, easily influenced by the opinions of others.
 
Ingekuwa ni kugawa pesa kusingekuwa na neno QUALIFY, hakuna pesa za bure, bali fanya kazi kisha pesa itafata, FIKIRIA WENGINE KWANZA, SAIDIA WATU WENGI ZAIDI, PENDA KILE UFANYACHO NA UKIFANYE KWA MOYO MMOJA NDIPO PESA ZITAKUJA. HAKUNA PESA, GARI WALA NYUMBA YA BURE.

So hampati hata mia ya faida? Nijibu hilo mkuu usikwepe
 
Mkuu umeweka maelezo mengi na yameeleweka kitu muhimu kisichohitaji maelezo mengi ni, je mnauza products zipi. Funguka zaidi, hayo majukumu yakuongoza watu watano ama saba ni kwa shughuli ya kuuza nini. Mkuu naomba unijuze pia, mtu anapoongoza watu watano ama saba na hao wachini yake nao ili wa qualify waongoze idadi hiyo hiyo, na walio chini tena nao hivyo hivyo. Ina maana mfano mtu anaeongoza watu 5, hao watano wataongoza 25 na hao 25 wataongoza 625 je hii sio pyramid function au biashara ya pembe tatu ambavyo mara zote hufaidisha aliepo kileleni apex. Tabia ya pyramid business ni kuwa na ncha, apex na base pana. Mtu wa juu hufaidika kwa watu walioko chini yake kwenye pyramid alio ianzisha. Tatizo linkuja itafikia point of saturation base imekuwa kubwa mno na haiwezi kuongezeka tena wale waliopo chini huathirika. Kawaida ya biashara ya pembe tatu watu wa mwanzo mwanzo ndio hufaidika sana. Kwa hiyo funguka zaidi mnashughulika na uuzaji wa products zipi au services zipi?
 
Taja kampuni husika zinazo toa nyumba na gari za ndoto kwa waajiriwaa, other wise mtaonekana kama wezi wengine tulio wazoea!
 
Ulaya kwenyewe hakuna hiyo kitu na karibu kila mtu ana gari na house za morgage, ndio iwe rhs hivyo kwa Tz?
 
Sijui waishi dunia ipi! bali dunia tuliyonayo sasa Ulaya na Manyovu au Kintinku ni umbali wa vidole vyako. Fursa walizonazo Ulaya ndizo unazo weye, ni jukumu lako kuzitambua na kuzifanyia kazi.
 
Next millionaire nimepitia uzi wako hatua kwa hatua,mstari kwa mstari,hii ikijumuisha kufuatilia pia namna unavyo toa majibu yako.Na nimejifunza kitu kutoka kwako;kwanza nimeona huna pupa ktk kujibu hoja,pili unajibu hoja kwa maelezo ya kutosha na pasipo jazba na kejeli(hii ni hekima),tatu nimependa msimamo wako na naman unavyo husianisha maandiko,vitabu mbalimbali na hali halisi ya maisha ktk kuelezea jambo.kaka mm nakupa hongera sana kwa hekima uliyo nayo na Mungu atukuzwe kwa kukukirimia hiyo hekima.Nitakutafuta ktk numba yako kwa msaada zaidi.Hongera sana.MWENYE HEKIMA HUTAMBULIKA KWA MAJIBU YAKE,NA WALA SI MWEPESI WA HASIRA ILA NI MNYENYEKEVU NA AJISHUSHAYE,wapendwa hebu tujaribu kujifunza hekima na si kumbilia kujibu na kutoa shutuma pasi kutafakari na kupima kwanza(tusikatae kila tunachoambia pasipo kuchunguza kwanza,na tusikubali kila kitu pasipo kutakari kwa kina pia).Baraka tele kwako Nxt millionaire,nimependa sana majibu yako!

Kaka nakushukuru kwa kunitia moyo, asante kwa complement zako, nazipokea kwa mikono miwili, hakika si mimi bali Yeye aliye ndani yangu ndiye anipaye hekima, sifa na utukufu apewe Bwana. Barikiwa.
 
Sijui waishi dunia ipi! bali dunia tuliyonayo sasa Ulaya na Manyovu au Kintinku ni umbali wa vidole vyako. Fursa walizonazo Ulaya ndizo unazo weye, ni jukumu lako kuzitambua na kuzifanyia kazi.

All cheap incomes zinaambatana na laana ama mabalaa, sishauri kufuata maelekezo ya huyu bwana fanyeni kazi ndio mpango wa biblia na msahafu.

Shortcuts za maisha zimeingiza wengi kwenye shida kubwa sana
 
Its not cheap as you think, you get these by doing work, very serious one, but not alone, that's the difference with whatever your doing, that's why the reward is handsome.

as in Genesis 11:6 And the Lord said, "Indeed the people are one and they all have one language, and this is what they begin to do; now nothing that they propose to do will be withheld from them.
Nyumba na gari ni vitu vidogo sana kati vile ambavyo Mungu anataka kutubariki navyo, fikiria hivyo kama shata na suruali tu.
 
Back
Top Bottom