Your dream car, your dream house in less than 3yrs

Your dream car, your dream house in less than 3yrs

Nxt Millionaire

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
406
Reaction score
89
Dream Car, Dream House in 3 years
Watu wengi wanapokuwa shule au vyou na mara waanzapo ajira au biashara uwa wanakuwa na ndoto kubwa, zaweza kuwa kubwa za hata kumiliki ndege yake binafsi ama kumiliki mtaaa kama Bekham kama si kuwa mtalii mwezini siku moja, zote ni ndoto ama maono, jinsi gani kufikia muda gani kutimia inategemea sana na mpangokazi mtu aliojiwekea kufikia maono yake.


Hizi zaweza kuwa ni ndoto kubwa, pengine wengine hawajawai kuziwaza achilia mbali kuziota, lakini zipo ndoto za kawaida kabisa ambazo mimi na wewe twaziota, zaweza kuwa nyingi, lakini tuangalie ndoto hizi mbili, kumiliki nyumba yako ya maana (na si mahali pa kulala tu, kwani waweza lala ata pangoni) na gari zuri (si usafiri maana huko wa aina nyingi).

Hii ni kawaida kabisa kwamba mtu anapoanza kazi au biashara kitu jambo la kwanza analofikiria ni nyumba ama gari, wapo wanalipa kipaumbele gari, kwa kuwa ni rahisi kwa sasa kupatikana kwa njia ya mkopo hasa unapokuwa na ajira, hivyo kufanya wengi waendeshe magari huku wakibakia katika chumba cha kupanga ama Digital Room, yaani kila kitu hapo hapo. Kikubwa zaidi kulazimika kuendelea kuwa katika ajira hiyo angalau mpaka ka-mkopo alikokopa kaishe, hii upelekea wengine kuwa na magari na kukosa pesa ya mafuta, angalau analo gari.

Lakini wako baadhi ya watumishi wa umma wengine ambao wanaona wao kumiliki gari ni ndoto za mchana, hata kama atakusanya mapato yake miaka ishirini hawezi kununua hata gari ya mtumba, hawa ni wengi, hawana jinsi, wengi wamekata tamaa, kuishi ni kwa mazoea tu.

Yawezekana wajiuliza, je inawezekana mtu kumiliki gari ya maana na nyumba ya kifahari ndani ya mwaka mmoja mpaka mitatu?? Kumbuka si kukopeshwa, hapana kumilikishwa nyumba na gari pasipo makato yoyote toka kwako.


Angalia kipengele hiki katika sera ya kampuni:-
"on the fourth month you would qualify for the car fund, you can enjoy this fund continuously…"

Je ni kiasi gani chan pesa kinacholipwa kwa mwezi? Angalia nukuu hii
"maximum car fund that can be enjoyed by a qualifier is DHS 7,000 per month…" sera inaendelea kusema, "upon qualifying for the fund, you must purchase the car within period of three months…"
Funga kazi ni hii:-
" The Maximum car fund payment is 130% of the car purchase price which has been approved by the company, the maximum payment period is 4years or (48 months).

Kwa maneno mengine ni kwamba kampuni yamlipa mtu aliyetimiza vigezo jumla ya DHS 7,000 x 48 (miezi) Jumla DHS 336,000.
DHS 1 = TZS 460 336,000 x 460 = 154,560,000/ hii ndio thamani ya gari inayotolewa na kampuni, una miezi mitatu ya kutimiza vigezo, mwezi wanne mpaka wa sita uwe ushachagua gari, kampuni ndio inalipa, je si mpango mzuri huo?? FIKIRIA CHUKUA HATUA!


Kuhusu Dream house, hivi sasa wako watumishi wanakopeshwa nyumba kupitia mabenki na kuendelea kukatwa kwenye mishahara yao kila mwisho wa mwezi,pesa inayokatwa si haba, na ni kwa muda usiopungua miaka 20, ni mpango mzuri sana, unasaidia wengi kumiliki, japo ukifukuzwa kazi ama kufariki ghafla kunakuwa na sintofahamu kubwa, je pana ubaya ukijua njia ya kumiliki nyumba ya ndoto yako au ambayo wala hukuwai kuota kwa muda wa miaka mitatu pasipo deni lolote??

Hebu angalia kipengele hiki:-
On the 4th month you would qualify for the House fund, you can enjoy this continuously even if you are left with one qualified manager line" sijui kama umeona kitu hapo, hebu angalia na hii:- upon qualifying for the house fund, you must purchase your DREAM HOUSE within a period of 3 months, can be extended up to 6 months, when circumstances are deemed necessary and subject to the company's approval.

Yaani ukitimiza vigezo, watakiwa kumiliki nyumba ya ndoto yako ndani ya miezi sita, kivipi?? Cheki hii
"Maximum House fund that can be enjoyed by the qualifier is DHS 6,000 per month, total house fund that can be enjoyed by a qualifier is 200% of the initial purchase price of the house or 240 months (20yrs), whichever is earlier."
Hii maana yake nini?? Yaani unalipwa DHS 6,000 X 240 miezi= DHS 1,440,000 kama pesa ya nyumba, je hii ni sawa na pesa ngapi ya madafu ikiwa DHS 1 = 460???? Malizia hesabu.
DHS ni pesa ya kiarabu.

Kampuni imetoa angalizo katika house fund "this fund cannot be used to purchase low cost (subsidized) houses or squatters.

Je ungependa kuhifahamu vyema kampuni hii? Ungependa kujua jinsi gani waweza kupata DREAM CAR, DREAM HOUSE, OR DREAM HEALTH in less than 3yrs??

Ofisi iko Msasani opp Capetown Fishmarket, ikiwa wataka kujua zaidi twanga 0784475576, tafadhari hii ni kwa wale wanaomaanisha tu,
Please!!!! weka miadi kabla ya kuja.
Mungu awabariki nyote.


CLARIFICATIONS:
Naomba kuweka mambo sawa hapa, wengi ambao wamepiga simu wamekuwa wanahoji ama wanadhani kwamba kampuni inatoa mkopo au msaada wa kumiliki gari au nyumba za ndoto zao, kifupi huu si mkopo bali ni HAKI kwa kila mtu awaye yote anayetimiza vigezo wakati wowote, haijalishi muda, ukitimiza ndani ya mwaka unayo haki ya kupewa, na hapa hauitaji kudai, bali siku unatimiza vigezo utajulishwa ili uanze kufanya window shopping kama ulikuwa bado, ni 100% GURANTEE kupata gari na nyumba ya ndoto yako mara utimizapo vigezo.

Utaingia mkataba na kampuni, unao wajibu wako wa kufanya na kampuni inatimiza wajibu wake, hii inamaana kuwa kama haikutimiza wajibu wake una haki kudai haki yako popote. Lakini mpaka sasa haijawai kutokea mtu awaye yote popote duniani ambako kampuni ina matawi kushindwa kupewa gari au nyumba, bali kuna watu wamenufaika kwa kupata magari mpaka sita na mpaka nyumba tatu zenye thamani isiyopungua million 600 kila moja.


MODS PLEASE:
Nomba hii muirejeshe jukwaa la Kazi na Tenda au Biashara na uchumi, au Elimu ili wengi wachangie, I like critics, mmekuwa mwaiamisha hamisha sana, cjui kwanini, huku mlikoiweka watu makini wenye changamoto hawaioni, sipati changamoto za maana.

Maombi yangu ni kuwa muanzishe FORUM maalumu ya POSSIBILITY THINKERS, watu wanaoamini mambo makubwa kuwezekana, makubwa zaidi ya gari na nyumba, wenye ndoto kuuubwa kiasi mtu akisikia masikio yanawasha, watu wasionenda kwa mazingira na hali halisi, wenye kuona tumaini katikati ya kukata tamaa, wanaoona uzima katikati ya mauti, wanaoweza kusema kuwa Razaro aliyezikwa siku nne zilizopita kuwa "amelala tu", wenye ujasiri wa kuona uhai katikati ya mauti.

Taifa lahitaji watu wa namna hii, wanaonenda kwa "MIND SIGHT" na si kwa "EYE SIGHT", naamini watu hawa wapo hapa JF, waweza kuwaona kwa comment zao, id zao, nukuu zao na mitazamo yao, wapo wengi, kwa kuwa na FORUM maalumu itatukutanisha, na hatimaye wengi watafunguliwa.

Mungu awabariki.
 
Si kwa Tanzania ndugu yangu

Ndg yangu, hii ni kwa Tanzania, kampuni imefungua milango hapa bongo tangu March 2012, watu kadhaa wamefanikiwa kutimiza ndoto zao, unayo fursa kuonana nao uso kwa uso.
 
Ni bora ungeliandika kwa lugha ya Taifa letu ili utusaidie na sisi tulioishia darasa la saba.
 
easy come easy go,lakini vyema watu wakkutafuta na kuufahamu ukweli zaidi wa hili suala!

PATA "LIKE" Ni vyema kujipa muda kulijua jambo kwa kina kabla ya kufanya uamuzi.
Remember this. START WITH WHAT IS RIGHT, RATHER THAN WHAT IS ACCEPTABLE. G DAY.
 
Ni bora ungeliandika kwa lugha ya Taifa letu ili utusaidie na sisi tulioishia darasa la saba.

Kiinglishi ndiyo kizuri kwa kuiba na kufake, si unajua hata masister maeneo kuanzia Mlimani City, Cape Town Fish Market kule Jacks maeneo ya Masaki wanapiga kiinglish tu ili waweze kuwakamata wajinga wajinga
 
Ngoja nipekue pekue

"ONLY WHEN WE ARE NO LONGER AFRAID DO WE BEGIN TO LIVE." Dorothy Thompson.
Moja ya kikwazo kikubwa kinachozuia watu kufanikiwa ama kuishi ndoto zao ni WOGA, woga huko wa aina nyingi, mwingine ni wa kuogopa kujifunza mambo mapya, ambayo hawakuyasoma kwenye mfumo rasmi. Siku mtu akiondoa woga ndipo ataanza kuishi.
 
Nikisema ndio au hapana, je utaamini au utakataa, cjui, ila unayo fursa kuona kwa macho kile nisemacho kuwa ni kweli au ni fix, unayo nafasi ya kutafuta ukweli,kujifunza na kuelimisha wengine, hii si adithi ya kusadikika bali ni halisi, tumia fursa hiyo, tafuta ukweli.
 
Una jina zuri sana, lakini umemalizia post yako kinyume na jina lako, si lugha za Born Again, jaribu kuishi jina lako, moja ya sifa za Born again ni FAITH, now faith has moved mountains, has put man in the moon, etc, etc, with FAITH everything is POSSIBLE, the IMPOSSIBLE becomes I'M POSSIBLE, unless you don't know the meaning of it. It is written, "AS MAN THINKS SO HE IS"
 
Ni bora kupima kitu mala kumi ukakikata mala moja, kuliko kukipima mala moja ukakikata mala kumi.....utakiharibu!!
 
Kiinglishi ndiyo kizuri kwa kuiba na kufake, si unajua hata masister maeneo kuanzia Mlimani City, Cape Town Fish Market kule Jacks maeneo ya Masaki wanapiga kiinglish tu ili waweze kuwakamata wajinga wajinga


Una jina zuri sana, lakini umemalizia post yako kinyume na jina lako, si lugha za Born Again, jaribu kuishi jina lako, moja ya sifa za Born again ni FAITH, now faith has moved mountains, has put man in the moon, etc, etc, with FAITH everything is POSSIBLE, the IMPOSSIBLE becomes I'M POSSIBLE, unless you don't know the meaning of it. It is written, "AS MAN THINKS SO HE IS"
 
we ushapata hivi vitu unayotangaza?

Nikisema ndio au hapana, je utaamini au utakataa, cjui, ila unayo fursa kuona kwa macho kile nisemacho kuwa ni kweli au ni fix, unayo nafasi ya kutafuta ukweli,kujifunza na kuelimisha wengine, hii si adithi ya kusadikika bali ni halisi, tumia fursa hiyo, tafuta ukweli.
 
Hem tupashe kknaga ubaga bac...hii ofisi inajishugulisha na nn?..sasa mtu anakujaje bila ya kujua ni ofisi ya aina gani? Hizo ni benefit kwq atakaekua employed tuekee na masharti ya muajiri anataka afanyiwe yepi?....sijui umenisoma mkuu billionaire?
 
Ni bora kupima kitu mala kumi ukakikata mala moja, kuliko kukipima mala moja ukakikata mala kumi.....utakiharibu!!

Duh, umenipa nukuu mpya, Tatizo watu wengi hawataki hata kupima hiyo mara moja, bali wanakataa mara mia moja kwa kutopima hata mara moja, wako katika COMFORT ZONES, wataalamu wanawahita "MA-STATUS QUOERS"
 
Hem tupashe kknaga ubaga bac...hii ofisi inajishugulisha na nn?..sasa mtu anakujaje bila ya kujua ni ofisi ya aina gani? Hizo ni benefit kwq atakaekua employed tuekee na masharti ya muajiri anataka afanyiwe yepi?....sijui umenisoma mkuu billionaire?

Nimeipenda hiyo, asante kwa utabiri wako, kiufupi haiajiri, bali inakupa fursa ya kujifunza na kisha kuwa your own Boss, inakupa FREE OBT ama ON BUSINESS TRAINING, kwa maana kuwa weweza kujifunza huku ukitengeneza pesa, Kampuni in Chuo chake huko Malaysia kinaitwa EES University of Success, Elimu yake yakujenga kujitegemea na kufanikiwa katika kila nyanja, fursa hii yamfaa yoyote, awe ameajiriwa, amejiajiri au mjasiriamali.


Si rahisi kuweka kila kitu hapa, bali kwa mtu aliyemaanisha, aweza kuja kusikia, kuona, kujifunza, na kisha kufanya maamuzi sahihi kutokana na kile alichojifunza, mafunzo ni free lakini twaitaji SERIUOS AND COMMITTED PEOPLE. Nao utawajua kwa hatua wanazo chukua, wana maamuzi na si waoga kujifunza ama kujaribu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom