You Can Put Lipstick On A Pig, It’s Still A Pig

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Kwanza natoa radhi kama nitawaudhi lakini ukweli ni kuwa its more than 6 months huyu mheshimiwa wa chama kikubwa cha upinzani cha CHADEMA hajatoa any major speech on policy yoyote ile Tanzania. Surely kama mwenyekiti wa chama ambacho kinataka kuingia Ikulu huwezi ukakaa kimyaa kirefu namna hii na kuwaachia akina Dr Slaa, Zitto na JJ kukufanyai kila kitu.Isnt it ironic kuwa kuna issues mbali mbali ambazo CCM inazifanya ambazo wananchi hawazipendi lakini kama kiongozi wa chama kikuu cha upinzani kama CHADEMA yuko kimya makes you wonder what he will be up to akiingia ikulu.

freeman_bowe_in_lndon.jpg

Au yuko bize na biashara kiasi cha kutojua kuwa na ramadhani yote hiii vyakula vimepanda bei maradufu huku serikali inabugikwa na ma skandal left and right...

is this really the alternative?

Samahani sana kama nitakuwa nimewaudhi. na ikiwa inauma sana msisite kuihamisha kwani wenyewe sidhani kama watafurahia criticism kama hizi
 
Criticism(kukusoana) ni muhimu ili kuwaamsha viongozi ndani ya serikali na kwenye vyama. Nadhani viongozi wetu wanasikia jinsi Gordon Brown anavyokuwa kosolewa na watu Conservative au saa nyingine na wabunge wa chama chake, Labour.
 
GT mbona unaanza na kujitetea? jenga hoja tu mzee, wakikuonea watazamaji tutaona
 
Yuko half time na siku zote wakati wa half time wachezao danadana ni ma-reserves.
 
Bora akae hivyo hivyo kimya maana whenever he open his mouth anamwaga pumba tupu, hao ma surrogates wake si unaonana wanavyo chemsha big time. Kumbuka usemi u better remain silent, people may suspect that ur a fool than open your mouth and confirm it.
 
Ni kweli amekaa kimya sana kuliko inavyotakiwa ina maana hajaona kama kuna umuhimu wa kuongelea vitu vya msingi ambavyo vinalikumba taifa letu kwa sasa.
 
GT,

Usijitetee sana, unawaogopa CHADEMA nini? Wanachama wao wengi wanamuona huyo mheshimiwa kama kamungu kadogo, hatakiwi kuguswa kabisa.

Huyo mheshimiwa si ndiye alikaa UK na mikutano yote ya Watanzania kukutanika pamoja, iliyokuwa inaitishwa na ubalozi, hakuwahi kuhudhuria hata mmoja. Tutegemee nini kwa kiongozi kama huyo?

CHADEMA mchagueni Dr. Slaa aweze kukifufua chama chenu.
 
Ndivyo Tulivyo............

Are you calling Mbowe a pig??? How dare you, Nyani McCain, shame on you!!! It is sexist apologize right now..... hahahaaaaa

GT, mi nilijua uliomba radhi mapema ukijua Nyani akija he will take offence! Maana unamkumbushia Jaluo alivyorusha kijembe juzi!

But seriously, nadhani ni vyema Mbowe akae tu kimya maana hana la kusema at this point in time.
 
Nchi iko njia panda at least basi atoe press release kuonyesha kuwa anaguswa na kinachoendelea nchini kha!!!

GT, Umesahau That Dog Can't Hunt!!
 
Back
Top Bottom