You are not my type

You are not my type

That's not always the case. Mimi kuna mkaka miaka ya nyuma alikuwaga ananitaka na mimi nilitokea kumzoea na nikampenda vile tu alikuwa lakini sikuweza kuwa naye kwa vile nilikuwa nipo kwenye relationship na mtu mwingine lakini yeye alichukulia nimemkataa kwa vile hana pesa. Sasa hivi yuko vizuri financially na bado anadai ananitaka ila pia siwezi kuwa naye kwa sababu nadhani anataka anikomoe tu. Unaweza kuona ni jinsi gani hizi generalization zinatuumiza
acha uoga. Kuna some guys huwa hawawezi kuhandle rejection yaani wanaona kama ni tusi kwa uanaume wao wakati tongozo ni ombi tu. Inawezekana kwa asilimia kubwa tu anataka kuosha asepe ili ajihisi mwanaume ingawa chances zinaeza kuwepo pia anakufeel
 
Sasa si unaona, yeye alinihukumu kwa jambo ambalo si la kweli na mimi nafikiria kitu ambacho sina uhakika nacho
 
Sasa si unaona, yeye alinihukumu kwa jambo ambalo si la kweli na mimi nafikiria kitu ambacho sina uhakika nacho
Ni kawaida. Ukiwa una insecurity flani, kila mara utahisi reactions za watu ni kutokana na mapungufu yako na kumbe walaa.just understand the guy
 
Aaah wachambe tu ukiona mtu anachamba ujue ana matatizo katika afya ya akili...
Mume kasema I am not his type....

Hapa nasaka my type
Hahaha wii my kaka hana jeuri hiyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom