You are not my type

You are not my type

Haha pole
Dada mmoja, alikuwa form 6 nilimtokeaga mimi nikiwa zangu form 5 miaka kenda nyuma shule ya Mwakaleli high school- mbeya. Alinitoa nishai mbele ya kadamnasi ya watu sitasahau maneno yake "EMBU JIANGALIE VIZURI ACHANA NA MIMI SIKUTAKI NARUDIA SIKUTAKI NA UNIKOME HATA KUNISOGELEA"
 
Pole sana mkuu,, Those who ignore you make sure they pay for it, I mean make money mkuu be happy

Nikiwa shule nakumbuka mwalimu wetu alikua jank tu lakini alikua na pesa mbaya he told us

"My boys don't waste your time chasing for butterflies just mending your garden they will come"

Mademu ndio wanapenda misemo hiyo,umamuambie mtu kwamba sio taipu yako kwani una k ya dhahabu inayoitaji mb** ya dhahabu kuingia au?
 
Ulichonena ndicho nachokifanya mkuu.
 
Mademu ndio wanapenda misemo hiyo,umamuambie mtu kwamba sio taipu yako kwani una k ya dhahabu inayoitaji mb** ya dhahabu kuingia au?
Mkuu mahusiano si kut****na tu
 
Haha kumbe kweli umesoma mwakaleli
Hahaha nilipita mikononi mwake, don't tell me ulipita apo?? Ndotela, sanga,agness,babu maison,mwl mama bahati nk. Kandete je town kwetu unapakumbuka? Ushawi kupakizwa kwenye lile toroli letu la wagonjwa na kukimbizwa hospital? Love road je kule tulipokuwa tunasimamisha minazi.??
 
Dah uzi umekuja muda sahihi kabisa. Jana nimechwana live na manzi ambaye nilimpenda sana afu tulikuwa na mazoea kinoma nikaona mbona muda unaenda na dalili nzuri naziona basi nikajiambia D jiongoze unaweza kuta ni mafriend tu afu ufunguki. Dah kufunguka naambiwa yuko na mtu wake tena anasema wako committed sana. Kiukweli sijawahi kuumia kiasi hiki huyu babe mama nilitamani sana awe manzi wangu wa milele lakini ndio basi tena ila inauma sana.
 
Hili neno linachoma sana, sijawahi kukutana nalo ila kuna mchizi lilimpa hasira ya kutafuta maisha, mwanamke mwenyewe alikuja kuchoka vibaya kutoka kwenye nyodo hadi kuuza afu jamaa mambo yamemnyookea jamaa alikuja kumsaidia kumpatia kazi

Kabla ya kutamka neno, fikiri mara mbili
 
Pole sana mdau

Ni kweli watu inabidi tuwe na uchaguzi mzuri wa maneno
 
Hahaha nilipita mikononi mwake, don't tell me ulipita apo?? Ndotela, sanga,agness,babu maison,mwl mama bahati nk. Kandete je town kwetu unapakumbuka? Ushawi kupakizwa kwenye lile toroli letu la wagonjwa na kukimbizwa hospital? Love road je kule tulipokuwa tunasimamisha minazi.??
Haha hapana sijasoma hapo, huyo mdau tulifahamiana sehemu nyingine tu tofauti
 
Ohoo nimekupata; alikuwa kipenzi cha watu haswa ndotela, japo alinidai jembe na fyekeo nilipofata result slip yangu. Hiyo ndio shule ambayo yule Dada alinitoa nishai. Though nashukuru maana alinikomaza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom