You are not my type

You are not my type

Huku sasa ni kutafuta huruma. Wewe una haki ya kukubaliwa na una wajibu wa kuelewa ukikataliwa, vivyo hivyo kwa wenye magari
Ni sawa lakini mbona hizo haki aslimia kubwa zinawaangukia wenye pesa na magari yao kuliko akina kajamba nani,, hata kama kwako haipo hivo ila kiuhalisia ipo hivyo
 
Siku hizi pesa ndio imechukua nafasi kwenye mahusiano, sio kwetu tu hata kwenu ninyi mnapenda ukidate na mdada walau awe na kipato. Wengine wanadhani mtu akishakuwa na gari maana yake ana pesa wakati wengine choka mbaya tu wamenunua magari ya kuuzia sura
 
Umeninukuu mahali hv na ku-like sms yangu lkn nashangaa kila nikitafuta kuangalia ulichoninukuu, sikioni, ss hapo tatizo ni nini Mama?
 
Vijana wengi wapo after mpododo tu mkuu kipato hawa ki consider sana.. let me ask you this personal qtn.. when it comes to relationship wewe unaangalia vitu gani
Siku hizi pesa ndio imechukua nafasi kwenye mahusiano, sio kwetu tu hata kwenu ninyi mnapenda ukidate na mdada walau awe na kipato. Wengine wanadhani mtu akishakuwa na gari maana yake ana pesa wakati wengine choka mbaya tu wamenunua magari ya kuuzia sura
 
Unajua hawa vijana wanaosema wewe siyo type yangu wana matatizo sana... Wengi wao hutegemea wanaowaita type zao... Kikubwa ukiona sehemu siyo saizi yako kaa mbali na utengeneze nafasi ya yeye kusogea mwenyewe kwasababu ukijipeleka utaambulia udhalilishaji tu....
 
Ok sorry lakini swali langu lilikua na maana kwamba,, unaweza kusema YES kwenye shida na raha I mean ukafuata hisia zako ukampenda mtu the way alivo either ni maskini au pia at some point unatumia pesa kama kigezo
Too personal
 
Kuna baadhi ya watu wakiyachoka mahusiano wanaona ndio fursa ya kuleta vita ya maneno kwa wapenz wao kwa kuwatolea maneno ya dharau bila kujali walipotoka......binafsi bora mtu aseme tuachane imetosha kuliko aanze kuntolea kauli za dharau kuwa me sio type yake alaf baada ya muda anarud anaomba mrudiane.
 
Hawa nao wanakuwa wambea, wakati anaingia kwenye mahusiano hakuona kuwa we si type yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom