Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

Yona na Mramba: Mashtaka na yatokanayo

One of my favourite quotes by JFK

"The problems of the world cannot possibly be solved by skeptics or cynics whose horizons are limited by the obvious realities. We need men who can dream of things that never were."
John F. Kennedy

And your point is....? Do you know the context of this quote au unachomoa anything and bend it to fit the picture?
 
Mkuu,

katika sheria zetu za JMT, hakuna shitaka linaitwa SHITAKA LA UFISADI.

Ufisadi ni mjumuisho wa uhujumu uchumi including rushwa na kutumia madaraka vibaya... that is ni neno la mitaani si rasmi kisheria.


Ikiwa hivyo ndivyo, unaweza ku-prove katika Court Of Law kwamba watu hawa walifanya hayo katika personal capacities na sio ofisi zao?Kwa sababu waziri ni mmoja, lakini utendaji ni wizara au kikundi cha watendaji kadhaa akiwemo waziri....sasa hili limekaaje? Utanisamehe mimi sio mwanasheria, lakini nina wasiwasi sana na mashitaka haya.

Na ikiwa hivyo ndivyo kama ulivyosema hapo juu, na ikiwa serikali hii imedhamiria kwa dhati kabisa "to set the pace and example", basi tuone basi na wale wote waliokuwa behind Kagoda, Richmond, Deep Green Meremeta, ICS, IPTL na mengine, ili tujue kwamba kweli tumefika mahali tunataka kupiga vita rushwa , basi tufuate sheria. Sheria ni msumeno- huwezi kuwaacha watuhumiwa wa Richmond, Kagoda et la, na kuwakimbilia wa Alex Stewart tu.


Anyway, yetu macho lakini kama ni jitihada za kutafuta credibility kwa wananchi....serikali bado ina safari ndefu
 
Ikiwa hivyo ndivyo, unaweza ku-prove katika Court Of Law kwamba watu hawa walifanya hayo katika personal capacities na sio ofisi zao?Kwa sababu waziri ni mmoja, lakini utendaji ni wizara au kikundi cha watendaji kadhaa akiwemo waziri....sasa hili limekaaje? Utanisamehe mimi sio mwanasheria, lakini nina wasiwasi sana na mashitaka haya.

Na ikiwa hivyo ndivyo kama ulivyosema hapo juu, na ikiwa serikali hii imedhamiria kwa dhati kabisa "to set the pace and example", basi tuone basi na wale wote waliokuwa behind Kagoda, Richmond, Deep Green Meremeta, ICS, IPTL na mengine, ili tujue kwamba kweli tumefika mahali tunataka kupiga vita rushwa , basi tufuate sheria. Sheria ni msumeno- huwezi kuwaacha watuhumiwa wa Richmond, Kagoda et la, na kuwakimbilia wa Alex Stewart tu.


Anyway, yetu macho lakini kama ni jitihada za kutafuta credibility kwa wananchi....serikali bado ina safari ndefu

Ushahidi wa vitu kama documents zenye signatures zao za ku approve huo uoza ndiyo ushahidi haijalishi kama alishauriwa na mwanadamu ama Mungu.
 
Perception: photo ops of the accused sitting on a bench in court giving the impression to masses that something serious is about to go down....

Reality: until proved otherwise (wrong)...I still maintain that nothing will happen to the accused and they will walk out of court guilty as hell but free as a bird....you just wait and see

When you see Nyani and Pundit on the same side of an issue you better recognize something serious is up.
 
One of my favourite quotes by JFK

"The problems of the world cannot possibly be solved by skeptics or cynics whose horizons are limited by the obvious realities. We need men who can dream of things that never were."
John F. Kennedy

Hizi quotes zenu nyingine haziendani kabisa na hali halisi ya Bongo, skeptics na cynics wameshakuwa proven right mara kibao katika justice system ya Bongo, bora niwe skeptic kuliko kufuata upepo na kuwa cheerleader wa Kikwete kama wanachama wa CCM.
 
Hmm, not too sure about this mkuu.

Korosho kadai something kuhusu personal ama office...Na mimi nikamwambia kuwa kama kuna siganture basi hiyo ni tosha kama uamuzi huo ulipelekea uvunjwaji wa sheria za nchi.
I stand corrected.
 
Hizi quotes zenu nyingine haziendani kabisa na hali halisi ya Bongo, skeptics na cynics wameshakuwa proven right mara kibao katika justice system ya Bongo, bora niwe skeptic kuliko kufuata upepo kama wanachama wa CCM.

Thanks Geeque, maana sceptics and cynics are useful even when Nyani was a sceptic during the US election, he was doing us all a huge favor but helping us rethink and provide sufficient explanation for our support.
But the biggest problem in Tanzania is that it is one big rumour mill! No information or proper analysis. They just put information out there but we have no idea who is leaking what... it's crazy! Sasa watu wakiambiwa that it is a good thing, they clap, they are told to sit down and shut up they comply. In recent months, we have seen some stirring lakini sasa wanatuchanganya akili tena. They want their clapping masses again so give them cake and circus...
 
Halafu talking about abuse of office....is there any more abuse of office than the head of government starting a business (or businesses rather) while still occupying the state house? Should the rungu of justice land from the top down...?
 
Korosho kadai something kuhusu personal ama office...Na mimi nikamwambia kuwa kama kuna siganture basi hiyo ni tosha kama uamuzi huo ulipelekea uvunjwaji wa sheria za nchi.
I stand corrected.

Mkuu, nafikiri utakuwa unafahamu kabisa tofauti kabisa kati ya President na Presidency, Minister na Ministry.

Sasa to prove or not , tuwaachie mahakama lakini kwa mtazamo tu, kuna walakini hapo. Itabidi kuwe na evidence za kutosha to incriminate these persons.Kiutendaji, sahihi/saini tu doesn't hold much water. Executives wana-approve mambo mengi tu. Hii kesi inaweza kuchukua muda tukajikuta tuko karibia na uchaguzi 2010.

Nikukumbushe, sheria zetu zinasema kesi ikiwa mahakamani, sharti isijadiliwe nje ya mahakama. Bottomline, serikali itaonekana imepiga vita rushwa, na mhimili wake (mahakama) unasubiriwa kutoa maamuzi. Wananchi kama kawaida, tutaridhika.
 
Ndugu zangu, hii kesi na nyingine zitazofuata kama hizi zinatarajia ku-set precedence and they'll probably offer landmark reference for future generation - ONLY IF they are properly prosecuted.

Kutokana na charge sheet iliyoletwa na serikali dhidi ya hawa matuhumiwa, ni kwamba if convicted, itamaanisha kwamba from now on, kiongozi yeyote yule anaweza kushtakiwa simply for signing government orders au contract on behalf of the government ambazo zitabainika kuliletea hasara Taifa. That means, mikataba ya madini itasababisha watu wawe prosecuted, deal ya Richmond will be prosecutable, deal za ndege na radar will also be prosecutable. So this is landmark, i hope hizo presecutors wanauwezo wa make hizo charges zi-stick. Yetu macho na masikio.
 
You are not getting it and you won't get it. So enough with this digression, let's stick to the topic.

offcourse no one will overstand what yu are sayin cause unajichanga sana mazee. unajua itakusaidia sana kujua unachoongelea. how does a "republican think democrat"????
 
Duh hii iko tete nimesoma comments za watu humu ndani ziko nahisia .

Hanao furahia wana sababu ya kufurahia wakiwa na imani dhabiti kuwa watuhumiwa watapata adhabu kwa kufuata sheria na itasaidia ktk siku zijazo ya kuwa kiongozi yeyote ajue kama leo yuko safe na anafanya what is not ethical basi one day yatamtokea kama haya.Na hii ni kama tu hawa watu kweli watakutwa na makosa na kupata adhabu.
Kuna sisi wengine wenye hisia tofauti na tuna sababu pia ya kuhisi tunachohisi.Inaonekana pia kana kwamba hii kitu imekaa kujisafisha sana kulingana na muda ilipoibukia(but who care if is not a drama good for the country!); Inaonekana kuwa ni Rais kujiweka safi kama kwamba anashughulikia wanaitwa mafisadi kwa ajili ya uchaguzi ulio mbele yake na kama ameweza kupata umma mkubwa humu ndani itakuwaje kwa wale wasiojua sarakasi za siasa.
Ila hata Kipindi cha Mkapa Kiula na wezake walipelekwa kizimbani na mpaka sasa Kiula ni adui wa Mkapa kama mnakumbuka comments za karibuni zake dhidi ya Mkapa.
Sasa nashangaa kuonwa Jk kuwa kama wa kwanza Kuburuza waziri kizimbani,pili kama wajumbe wengine waliotangulia kusema watu wengine wana mtegemeo madogo sana kwa viongozi kwa hiyo kama hili linaonekana kuwa ni jambo kubwa kwa rais na wanampa credit kwa kufanya jambo ambalo anatakiwa kufanya,inashangaza.
Nitafurahi siku hukumu kuona adhabu inatolewa Mramba na Yona,pia EPA na ufisaidi mwingine wa nyuma unashughulikiwa pia.
Jumla ya maneno yote where you stand depends on where you sit .
 
Nimepita sehemu nimeokota hii comment. Pesa Mbili Mramba na Daniel Yona kama wangetumia japo asilimia ndogo ya pesa zilizopotea kukarabati mahakama na mahabusu leo wangekuwa miongoni mwa watanzania ambai wangefaidi na matumizi ya pesa hizo. Sasa wao hawakutaka kukarabati wamekaa kwenye mabenchi yaliyochoka, kuta zilizochubuka.

1.Edward Lowassa, 2.Rostam Aziz. 3.Nimrod Mkono, 4.Benjamin Mkapa, 5.Mgonja, Chenge, 6.Kalamagi, 7.Msabaha, hii ordoha kweli itaisha kabla ya 2010
 
Back
Top Bottom