Yona atoswe baharini ili merikebu isizame

Kwa hiyo Neno la Mungu linajipinga?

Mungu ana yake
Kaisari ana yake

Elewa hivyo
Acha upotovu. Dini ni maisha. Dini ni mafundisho, hizo story za waliotangulia ni kwa ajili yetu tufanye kuishi leo. Huwezi kuitenganisha dini na siasa. Tunadanganyana tu hapa.
 
Siyo kazi yako,subiri matokeo.
Eeenh Heee. Imenibidi nicheke (kwa furaha) kusoma hivyo ulivyoandika,! Laiti kama usingekuwa 'mjingajinga' fulani hivi, ningecheka kicheko tofauti.
Sasa usije ukaudhika kwa kutumia neno hilo (mjingajinga). Kumbuka tulikoanzia na mjadala huu!

Hata hivyo sitegemei kamwe sasa unielewe nimeandika nini hapa.
 
Nakuelewe sana ila nakuchora tu.
 
Back
Top Bottom