Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen

Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Maneck hata sijawahi msikia.Anadeal na nini hasa?
 
Mtu anaye miliki trillon 2 na anaye miliki million 1 matumizi yao na majukumu yao tofauti. Uyo wa trillion 2 unakuta matumizi ya nyumbani kwa siku laki 5 uyo wa million 1 kwa siku matumizi yake elfu 1500
Hivi mtu ukishakua na lets say trillion 2 bank, unataka nini tena hapa duniani?
Tuongee seriously..
 
Hawa wenzetu wana umoja sana, kuchangiana mitaji kwao kawaida sana, akikopa mmoja akishindwa kurejesha wanamlipia,
Sio sisi waweza ona fursa tena ya kueleweka lkn hata ndugu au jamaa yako hawezi kusaidia hata ushauri tu anaona unafaidika.
Kweli Kabisa mkuu
 
Wangeweka na tarakimu tuone nani anamiliki nini haya mambo ya kutaja majina tu kama orodha ya wachelewaji doesn't make sense.
Orodha ya wachelewaji[emoji1] [emoji1]
 
That makes sense, ila kung'ang'ania kuuza hadi mapanga ili kuwauwa wachuuzi wadogo na kuwaua kabisa huku ukilipa wafanyakazi 130,000/= ili utajirike zaidi doesn't make sense
Kumbe anauza hadi mapanga...
Yaanaitwaje? Moo Mapanga au?
 
1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen

Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Ushamchongea , lazima atekwe na wazungu wawili .
 
hao unaowaita tra cjui wamekula ndumu za wapi wanadanganya watu edha awadhi ndio mmiliki wa lake!!
 
Wanaume wa Darisalama mpunga upo asee, wale jamaa wanaokaa wiki bila kuoga siwaoni kabisaa kwenye list.

Hao wanaume wa dar? au waarabu wa mascut, wahindi wa Mumbai na Wachaga wawili wa Kili..
 
Hapo hata ukipanga list ya watu 1000 bado utaona list imetawaliwa na wahindi na waarabu. Ni hatari sana uchumi wa nchi ukiwa kwenye mikono ya hawa jamaa..
Tiss hebu fanyeni research muishauri serikali nini kifanyike matajiri wawe weusi kutoka masasi, Geita, Musoma nk.
 
Hapo hata ukipanga list ya watu 1000 bado utaona list imetawaliwa na wahindi na waarabu. Ni hatari sana uchumi wa nchi ukiwa kwenye mikono ya hawa jamaa..
Tiss hebu fanyeni research muishauri serikali nini kifanyike matajiri wawe weusi kutoka masasi, Geita, Musoma nk.
naona ume specify kabisa ndugu zako! Hawa Ndugu wawili wa mlimani wameshaonyesha njia! Wangepatikana wengine wawili kutoka mara,wawili kigoma,wawili geita,wawili ---- basi ingekua hamna namna zaidi ya kuongoza kwenye list.
 
Wabongo tumemezwa na hawa maadui
-roho mbaya,
-wizi, na
-ubinafsi

Hao waarabu na Wahindi wanawaandaa watoto wao tangia wakiwa wadogo biashara ukienda kwenye maduka ya wahindi mtoto akitoka shuleni unamkuta yupo dukani na baba/mama yake tofauti

Sisi waafrika unamkuta baba/mama anakomaa na biashara yake hadi anakufa watoto hawajui A B C za biashara mwisho ndiyo kuanza kugawana mali,


Ss tunawaza sana starehe zaidi ya kazi,

Tunawaza baba atakufa lini turidhi mali...


Ss waafrica sijui tupoje akii
Hayo maneno ya sisi waafrika? Sisi na nani? Tuko vizuri na tunamshukuru Mungu hiyo rada imetupitia kushoto. Tunapiga hela kimyaaaaa kimyaaaaa
 
Hivi inakuwaje kuwaje hii lakini, shida huwa ni nini? Ni kweli kwamba hao waarabu wanabebwa na historia ya familia zao tu (urithi) au ni wametuzidi akili kiasi tukianza wote sifuri bado watatuzidi tena baada ya miaka kadhaa? Tusaidiane, tatizo ni nini?

Mipango na mifumo ya nchi inawafavour sana, mababu zao walichuma hapa wakawaachia mitaji mikubwa, watendaji wachache wenye tamaa walipokea rushwa kubwa za hawa jamaa na kuwapa nafasi nyingi za upigaji. Hawa watu wana makusanyiko yao ya siri kupanga mikakati mbalimbali ya namna ya kufanya biashara hapa hasa wizi na ujanja mwingine. Wahindi wako supported sana na Serikali ya India maana wana msaada kule sana na hawa waarabu wako supported kuanzia UAE mpaka Muscat unakopa bila riba au unarun biashara huku mnagawana faida na kazi ya hawa waarabu huku ni kuangalia opportunities zilizopo mitaji wanaenda kuchukua..

Serikali inabidi iwekeze sana kwa wazawa kwa kuwafungulia milango kwenye soko la kimataifa na kusaidia upatikanaji wa mikopo nafuu kutoka benki za ndani na serikali yenyewe kupromote watu wake kwa kuwakopesha kupitia Bot kwa utaratibu utakaokuwa rahisi. Serikali iweke mipaka ya ufanyaji wa biashara kwa wazawa na wageni, TISS ifanye kazi yake kwa hawa wahindi na waarabu wanaojifanya watanzania huku wakifaidika kwa kigezo cha utanzania kwa kufanya biashara ndogondogo za wazawa na kupewa unafuu kama wawekezaji wazawa.
 
Unafurahi sana hao uliowataja kushika uchumi badala ya hilo kabila?
Aliyekuambia anafurahia nani mbona watu huwa hampendi kusikia ukweli haya basi wasukuma na wachagga ndiyo wanashikilia uchumi wa tanzania
 
Back
Top Bottom