Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Weusi wawili tu !Makubwa! Halafu ccm eti wanasema ni chama cha wanyonge!Ama kweli ni chama cha wanyonge maana kimetufanya wanyonge toka uhuru!
Hivi inakuwaje kuwaje hii lakini, shida huwa ni nini? Ni kweli kwamba hao waarabu wanabebwa na historia ya familia zao tu (urithi) au ni wametuzidi akili kiasi tukianza wote sifuri bado watatuzidi tena baada ya miaka kadhaa? Tusaidiane, tatizo ni nini?
 
swala energy, akiba commercial bank ernest and young anamigodi geita na huko mererani
Hapo kwenye Ernest & Young tunaomba maelezo ya kutosha.
Hiyo ni kampuni kubwa ipo nchi nyingi duniani. Makao makuu yake ni UK kama sikosei.
 
Hahahaha
Pumbaf mkubwa wewe mimi siamini kupewa pesa na mwanaume hata siku mmoja walahi
Mola wangu ndio mpaji wangu walahi
Sasa kama wewe limwanaume liziima ndio kazi yako kwa mababu hao kazi unayo walahi
Tena mzenji oooh umekwishney idiot wewe walahi
Walahi[emoji23][emoji23]
 
Hivi inakuwaje kuwaje hii lakini, shida huwa ni nini? Ni kweli kwamba hao waarabu wanabebwa na historia ya familia zao tu (urithi) au ni wametuzidi akili kiasi tukianza wote sifuri bado watatuzidi tena baada ya miaka kadhaa? Tusaidiane, tatizo ni nini?
Hawa wenzetu wana umoja sana, kuchangiana mitaji kwao kawaida sana, akikopa mmoja akishindwa kurejesha wanamlipia,
Sio sisi waweza ona fursa tena ya kueleweka lkn hata ndugu au jamaa yako hawezi kusaidia hata ushauri tu anaona unafaidika.
 
Hahahaha
Pumbaf mkubwa wewe mimi siamini kupewa pesa na mwanaume hata siku mmoja walahi
Mola wangu ndio mpaji wangu walahi
Sasa kama wewe limwanaume liziima ndio kazi yako kwa mababu hao kazi unayo walahi
Tena mzenji oooh umekwishney idiot wewe walahi
Mkuu, "Walahi" ina maana gani!?
Natanguliza shukran kwa kunijuza Walahi!
 
mkuu hiyo list yako mbona siona MaDon wa kihaya.. au umetumwa nn!
 
Hivi inakuwaje kuwaje hii lakini, shida huwa ni nini? Ni kweli kwamba hao waarabu wanabebwa na historia ya familia zao tu (urithi) au ni wametuzidi akili kiasi tukianza wote sifuri bado watatuzidi tena baada ya miaka kadhaa? Tusaidiane, tatizo ni nini?
Wabongo tumemezwa na hawa maadui
-roho mbaya,
-wizi, na
-ubinafsi

Hao waarabu na Wahindi wanawaandaa watoto wao tangia wakiwa wadogo biashara ukienda kwenye maduka ya wahindi mtoto akitoka shuleni unamkuta yupo dukani na baba/mama yake tofauti

Sisi waafrika unamkuta baba/mama anakomaa na biashara yake hadi anakufa watoto hawajui A B C za biashara mwisho ndiyo kuanza kugawana mali,

Ss tunawaza sana starehe zaidi ya kazi,

Tunawaza baba atakufa lini turidhi mali...

Ss waafrica sijui tupoje akii
 
Malizia na mjinga mimi.tajiri mwenye ndoto za kuwa tajiri.
 
Back
Top Bottom