Sabodo anafanya biashara gani mkuu....kama ni utajiri wa hela bas hapo hakuna wa kumfunika sabodo,
ova.
mbali mbaliWahaya wanafanya biashara gani?
Naanza kutafuta nauli ya kwenda Mars na Mwezini.Hivi mtu ukishakua na lets say trillion 2 bank, unataka nini tena hapa duniani?
Tuongee seriously..
Inaonesha ni jinsi gani wanasiasa wanavyopiga pesa halafu hawalipi kodi!Nilidhani ingependeza zaidi kama ingekuwa
1.) Ally Hassan Mwinyi
2.) Benjamini william Mkapa
3.) Jakaya Mrisho Kikwete
4.) Andrew Chenge
5.) Edward Lowassa
Naamini siasa inalipa kuliko biashara
Dr. Shika umemuacha kwa chuki zenu.1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen
Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Behind every successful man.....Wanawake wa kibongo inabidi tupambane sana tuingie kwenye list aisee..
Inabidi ifike wakati tusiwe behind sana...japo nayo ni sifa kumfanya mtu kuwa successful kupitia ww..Behind every successful man.....
Hichi unacho kiongea ni ukweli mtupu...nimekishudia kwa macho yangu mawili kabisaHawa wenzetu wana umoja sana, kuchangiana mitaji kwao kawaida sana, akikopa mmoja akishindwa kurejesha wanamlipia,
Sio sisi waweza ona fursa tena ya kueleweka lkn hata ndugu au jamaa yako hawezi kusaidia hata ushauri tu anaona unafaidika.
Tunaitiana fursa za kipigaji kama forever living, Qnet na Kamari, hizo ndio tunaitiana..Hawa wenzetu wana umoja sana, kuchangiana mitaji kwao kawaida sana, akikopa mmoja akishindwa kurejesha wanamlipia,
Sio sisi waweza ona fursa tena ya kueleweka lkn hata ndugu au jamaa yako hawezi kusaidia hata ushauri tu anaona unafaidika.
Kweli mkuu, mtu akienda hata kula msosi anakukimbia ila kwenda kubet anakufosi muende wote ili mpigwe wote mfilisike wote mchekwe woteTunaitiana fursa za kipigaji kama forever living, Qnet na Kamari, hizo ndio tunaitiana..
Kafungue Forbes utaona matajiri kumi Tanzania iliyotoka mwezi october mwaka huu, hiyo ya TRA inaangalia makusanyo ya kodi kutoka kwa makampuni ya hao matajiri ndani ya nchi.Hii wametoa ili kufunika jambo fulani.
Maana kuna kagazeti majuzi kalimtaja No Dewj ndo tajiri nambari moja Tanzania.
Yule Mhindi Muislamu Zakaria simuoni hapo?!1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen
Source: T.R.A Revenue 2017/2018
tupe link mkuu1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen
Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Hilo mbona halina ubishi mkuu ila kuna kabisa 1 hujigamba ya kuwa wameshikilia uchumi wa nchi hii ili hali ukiangalia viwanda vingi ni hao wahindi na waarabu migodi wazunguTukiambiwa uchumi wa nchi umeshikiliwa na "wahindi-waarabu wa Tanzania" tukubali tu.