Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Kafungue Forbes utaona matajiri kumi Tanzania iliyotoka mwezi october mwaka huu, hiyo ya TRA inaangalia makusanyo ya kodi kutoka kwa makampuni ya hao matajiri ndani ya nchi.
Hao matajiri wengine wana makampuni uganda, kenya rwanda, south Africa, Marekani, nk. Ambako TRA hawafiki. Zisikuchanganye hizo takwimu za TRA.
achana na hao wanaowagharamikia pesa forbes waje tz wafanye vipindi na wao kwa pesa ili iwabust ki biashara
Kwani yogesh hana biashara nje ya tz? Exim bank ipo nchi ngapi?
Sumaria group unajua wanaviwanda nchi ngapi?
 
Wangeweka na tarakimu tuone nani anamiliki nini haya mambo ya kutaja majina tu kama orodha ya wachelewaji doesn't make sense.
 
Unachopaswa ni kugawa nusu ya utajili wako kwa maskini na kulobby Mungu uingie kwenye uzima wa milele.

Bill gates and Melinda wanafanya hili.
That makes sense, ila kung'ang'ania kuuza hadi mapanga ili kuwauwa wachuuzi wadogo na kuwaua kabisa huku ukilipa wafanyakazi 130,000/= ili utajirike zaidi doesn't make sense
 
Muda mwingine nashindwa kuwaelewa Watanzania wenzangu.....

Yaani mtu anapingana hata chanzo cha taarifa hali ya kuwa yeye hana chanzo chochote cha taarifa zaidi ya hisia zake tu.....

Mtu anaweza kukubishia kuwa fulani sio tajiri kwa kuwa yeye hana taarifa yoyote kumhusu tajiri!!!!....
 
Hilo mbona halina ubishi mkuu ila kuna kabisa 1 hujigamba ya kuwa wameshikilia uchumi wa nchi hii ili hali ukiangalia viwanda vingi ni hao wahindi na waarabu migodi wazungu
Unafurahi sana hao uliowataja kushika uchumi badala ya hilo kabila?
 
Muda mwingine nashindwa kuwaelewa Watanzania wenzangu.....

Yaani mtu anapingana hata chanzo cha taarifa hali ya kuwa yeye hana chanzo chochote cha taarifa zaidi ya hisia zake tu.....

Mtu anaweza kukubishia kuwa fulani sio tajiri kwa kuwa yeye hana taarifa yoyote kumhusu tajiri!!!!....
🤣🤣
 
Nilichogundua ni kwamba watu wandhania MO ndio tajiri namba moja.. ila ukweli ni kwamba Tajiri no. 1 kwa VIJANA.. MANECK ndio tajiri no moja TZ haina ubishi..
 
Hahahaha
Pumbaf mkubwa wewe mimi siamini kupewa pesa na mwanaume hata siku mmoja walahi
Mola wangu ndio mpaji wangu walahi
Sasa kama wewe limwanaume liziima ndio kazi yako kwa mababu hao kazi unayo walahi
Tena mzenji oooh umekwishney idiot wewe walahi
Umenichekesha mno walahi[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Back
Top Bottom