Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

Yogesh Maneck tajiri namba 1 Tanzania

1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen

Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Data zako zina mapungufu makubwa. Tra hakuna kitu kama hicho.
 
Mo analipa wafanyakazi wake 130,000.
yeye hula milo 3 nao pia mitatu.
wote hawa kaburi ni 6 x 3 na hukumu iko palepale. Ngoja niendelee kuendesha bajaj yangu
 
1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen

Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Baada ya kutekwa ameshuka kuwa wa 5?
 
MY BOSS YOGESH MANEK MUHINDI FLANI HANAGA MBWEMBWE NYINGI KM DAB ILA ANA MICROCHIP
 
Mo analipa wafanyakazi wake 130,000.
yeye hula milo 3 nao pia mitatu.
wote hawa kaburi ni 6 x 3 na hukumu iko palepale. Ngoja niendelee kuendesha bajaj yangu
Kwahiyo utateseka duniani na huko kuzimu.. chagua raha moja
 
Wealth vs. Revenue/Turnover??
Balance sheet vs. Income statement??

Your source of data is not reliable. It collects and publish information about individual's turnover, not asset. While turnover changes overtime and measured in a specific period of time; monthly, quarter annual (flow variable), asset is a cummulative variable that takes into account all accumulations since the begining of business. Hence asset is a good measure of wealth (utajiri).

Ukitaka kupima utajiri (wealth) angalia asset (balance sheet) sio income statement wanayoangalia TRA ili wakate kodi ya mapato. Unaweza kuwa na mapato makubwa na bado usiwe tajiri zaidi depending on how much assets ume accumulate.
Sasa ulitaka na abood awepo?
 
Aisee,naona ulidanga kwake ukitarajia kupewa discovery 5...asubuhi yake ukaishia kupewa nauli ya bajaj
Hahahaha
Wewe mimi siamini kupewa pesa na mwanaume hata siku mmoja walahi
Mola wangu ndio mpaji wangu walahi
Sasa kama wewe limwanaume liziima ndio kazi yako kwa mababu hao kazi unayo walahi
Tena mzenji oooh umekwishney wewe walahi
 
1. Yogesh Maneck
2. Said Salim Bakhressa
3. Jayesh Shah(Sumaria group)
4. Rostam Aziz
5. MO Dewji
6. Yusuph Manji
7. Galib Said Mohamed(GSM)
8. Salim turky
9. Mustapha Sabodo
10. Reginald Mengi
11. Jeetu Patel
12. Ally Edha Awadhi(lake oil)
13. Ernest Massawe
14. Munif (Oilcom)
15. Fidal hussen

Source: T.R.A Revenue 2017/2018
Weusi wawili tu !Makubwa! Halafu ccm eti wanasema ni chama cha wanyonge!Ama kweli ni chama cha wanyonge maana kimetufanya wanyonge toka uhuru!
 
Hao Ni walipa Kodi wazuri sio list ya matajiri acha upotoshaji..t.r.a hiyo shughuli wameanza lini..hao matajiri wengi wao wana Mali kibao nje ya tz nazo tra wamezikagua na kuzifanyia tathmini au hizo sio zao!!!
 
Back
Top Bottom