naiman64
JF-Expert Member
- Nov 22, 2013
- 6,989
- 5,510
Halina ubishiNdugu zetu waislamu ndio matajiri nchi hii...ni juzi tu tulibishana mahali
Halina ubishiNdugu zetu waislamu ndio matajiri nchi hii...ni juzi tu tulibishana mahali
naona ume specify kabisa ndugu zako! Hawa Ndugu wawili wa mlimani wameshaonyesha njia! Wangepatikana wengine wawili kutoka mara,wawili kigoma,wawili geita,wawili ---- basi ingekua hamna namna zaidi ya kuongoza kwenye list.
Wanaume wa Darisalama mpunga upo asee, wale jamaa wanaokaa wiki bila kuoga siwaoni kabisaa kwenye list.
Asante kwa kunisaidia kuweka sawia!hahahhaha namaanisha, wamakonde, wamawia, wakwere, wazaramo, wandengereko, wadigo, wachaga, wameru, wanyakyusa,wasafwa, wakinga, wabena, wasukumu, wajita, wakulya WEUSI WATANZANIA SIO WAKUCHOVYA.
Muarabu na Muhindi hata azaliwe IGUNGA au KYELA na kukwambia yeye Mtanzania huwa ni maneno tu na lengo kuu ni kupata unafuu ili watuibie vizuri huu ndio ukweli ila wakikaa wenyewe kwenye vikao wanamambo mengi sana ya siri na mioyoni mwao hutudharau sana huu ndio ukweli. Mijitu yetu kwenye Serikali inapokea sana rushwa kutoka kwa hawa jamaa na kukandamiza haki za wazawa ili tu Mhindi na Muarabu anufaike.
WawekeNaona ni mtu tajiri ila sina detail zake naombeni wadau madini [emoji53]
NadhaniHii ni orodha ya matajiri au orodha ya walipa kodi wazuri..!!?
ItasaidiaWekeni na maelezo ya vitu wanavyomiliki la sivyo yatabaki majina tu na watanzania tutabaki watu wa kutokuwa na uhakika na mambo tunayoaona.
Hisa zake ngapiNi mmoja wa wamiliki wa exim bank(T),Chemi&Cotec etc
Mhswala energy, akiba commercial bank ernest and young anamigodi geita na huko mererani
Kuna rugemalira hawamuwekiHead down! Nimefarijika kuona ndugu wawili wakituwakilisha sisi Waafrika wa Tanganyika!! Hongera Mengi &Massawe!
Exim wanahisa ni 5 so kila mtu ana 20%,Chemi&Cotex chote chake,cheki website ya MAC GROUP ukipata mudaHisa zake ngapi
KumbeExim wanahisa ni 5 so kila mtu ana 20%,Chemi&Cotex chote chake,cheki website ya MAC GROUP ukipata muda
Ndio mkuu.Kumbe
Hapo sawaNdio mkuu.
Hivi massawe ni mchaga au
GEE2PATEL