Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu
Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.
Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa
I'm a new Mandela.
Karibu tena Mcharuko! Nilikumiss sana.
Hivi na mimi siwezi kukuvisha nyingine kama hutojali?
Nilifungiwa toka Mwezi wa Tisa, yaani kama Mandela vile
Leo ndio nimefunguliwa, Nimewamiss sana Rafiki zangu
Lakini nasikitika nimeingia nikiwa mpya kabisa kwani
nimeshavishwa pete na nilikosa kuwaalika katika tukio hilo
Muhimu ambalo lilifanyika Eneo la Msamvu pale Morogoro
Nawapendeni.
Nimefunguliwaaaaaaaaaaaaaaa,
Hureeeeeeeeee, Mandela niko nje sasa
I'm a new Mandela.
Kwa sheria ipi ya ndoa!? Au ni yeye tu akiridhia!?