Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Faiza, huwa tunabishana kwa hoja lakini kimoyomoyo huwa nakuheshimu sana, kwa hii komenti najisikia aibu utadhani nimekomenti mimi.Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Mnampa kichwa bure huyu AJUZA angali kila mtu anavyo m quote dawa ni kumpotezea tu!!
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Kapike urojo weweWewe si mdini?
FaizaFoxy,
Mie sitii neno nakusoma na miwani ya 3D huku nakula zangu Faluda, endelea kumwaga data na facts za haja.
Hiyo nafasi mbona ndogo sana!!
Mkuu wako wa nchi ni muislam..Nini kipya?
kwel Tz nuksi hiyo Ndalichako ndio nitoleeeeee hana chake hapo
Tunasomeshwa kuhusu uadilifu toka madrasah, hapo hautuingii hata umalize vyuo vikuu vyote alivyotembelea Slaa.
Uthibitisho huu umetoka kwa mwenyekiti wa Bodi ya Baraza la Mitihani Tanzania (NECTA) Brof Rwekaza Mukandala kuwa Katibu Mtendaji wa NECTA Dr Joyce Ndalichako ameondoka NECTA na nafasi yake sasa inakaimiwa na Dr Charles Msonde aliyekuwa msaidizi wake.
Kwa mujibu wa Profesa Mukandala, ni kwamba Dr Ndalichako ameanza likizo ya utafiti (Sabbatical leave) ya mwaka mmoja kuanzia Oktoba mosi mwaka huu hadi Septemba 30 mwaka 2014 licha ya kuwepo kwa taarifa za kuwepo shinikizo la kisiasa lilikuwa likimzonga Dr Ndalichako kutakiwa kujiuzulu.
Nawasilisha
I hope Joyce is having this for eid, hii kitu tamu bwana asikuambie mutuJoyce pumzika na WAACHE WAFU WAWAZIKE WAFU WAO
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Tunataka hiyo nafasi aishike Muislaam haijawahi kushikwa na Muislaam toka ianzishwe ili kupunguza machungu na makali ya kuonewa na Ndalichako.
Mimi nakuunga mkono, kwani ni dhambi kumnyima binadamu mwenzako kitoweo swafi kama hikiNachukia wanoutumia Ukristo kuwaumiza Waislaam, kama Nyerere na Ndalichako.
Kwa kweli siasa itaharibu
elimu ya nchi yetu, habari hii imenisikitisha sana ndugu yangu naumia
sana