Yapo ya kusahau lakini sio hili!

Yapo ya kusahau lakini sio hili!

Jamani wapendwa topic zingine hizi tutauana,maana unaona roho inauma kama inataka kutoka,
ee Mungu tuhurumie watanzania uwa hili dubwana ccm na watu wake'
 
Aiseee! inawezekana kuna mahali tumemkosea mungu, haiwezekani aruhusu tuadhibiwe hivi. nafikiri tumekosea sehemu atuhurumie.

Yes ni kweli tumekataa taifa teule la Mungu,na Mungu alishasema "akukataaye wewe amenikataa mimi".
 
Hii ni nchi masikini haiwezi kujenga nyumba kiasi hicho....! hivyo basi serikali inayoongozwa na CCM ni sikivu. walimu si wanamishahara yao? Mnataka raisi anyeshewe mvua?..........ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

This is Typical CCM mind set. No dought it is Shigella.
 
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na kujenga nyumba za waalimu 611 na chenji inarudi.

Kwa hiyo 2006-2009 Takribani bil 17. Hela za walipa kodi, nadhani tunahitaji dictator.
 
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na kujenga nyumba za waalimu 611 na chenji inarudi.

mkuu umenifanya nilie sana na hii taarifa,hii miCCM ni mijitu ya aina gani isiyokuwa na huruma hata kidogo kwa wananchi wake? pesa yote hiyo kukarabati ikulu tu wakati wananchi tunaishia kula mlo mmoja tu kwa siku tena sio wa kushiba,kuna siku tu lazima damu imwagike ndio haya mambo ya kutumia pesa ovyo za wananchi yatakuja kuisha
 
budget ya tissue paper (toilet paper) za ikulu kwa mwaka peke yake tu zinanunua ambulance 4
 
Ccm ccm wanaokupenda ni wanafik na wasio na huruma
majngili kinana
mafisadi presidaaa
wajinga nchemba
waoga wabunge wake na mawaziri wake woteeee
 
Shida moja ni kwamba, wananchi wengi kule vijijini ambako CCM inavuna kura kijeuri, wakiona hizo namba hawaelewi. Watanzania wengi ukiwaambia bilioni moja hawaelewi kama unazungumzia milioni elfu moja.

Ndio maana hata ilipotajwa bilioni moja ya kununua makaburi hakuna aliyerudisha kadi ya CCM. Na amini nawaambia, hayo makazi ya wafu yakishajengwa, utasikia kuna mamilioni ya shilingi yanatengwa kuya-maintain.

Ndiyo maana kuna M4C .
 
Duh ! Kuuumbe ! Ndiyo maana watu wanang'olewa meno bila Ganzi ! Naomba nitamke rasmi leo kwamba ' IKULU SI MAHALI PATAKATIFU '
 
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na kujenga nyumba za waalimu 611 na chenji inarudi.
source tafadhali mkuu.
 
Aisee!
Umeniumiza moyo sana!

Hebu edit kwenye post yako uweke na thamani ya hiyo nyumba moja ya mwalimu!
siamini na wewe unaingia kichwa kichwa kwenye taarifa ambayo haina kichwa wala miguu, muulize kwanza mleta mada aeleze source ya taarifa yake.
 
Mungu husiibariki tanzania mpaka CCM watoke madarakani.
 
siamini na wewe unaingia kichwa kichwa kwenye taarifa ambayo haina kichwa wala miguu, muulize kwanza mleta mada aeleze source ya taarifa yake.

Kweli kumbukumbu huna mara hii umesahau? Mwaka jana bungeni watu walikomaa mpaka hoja ikapita NDIYOOOO!!!
 
Back
Top Bottom