andate
JF-Expert Member
- Jun 9, 2011
- 2,651
- 1,028
lakini mbona toka enzi za mkapa hadi kikwete nikiona rais anaongea au anaagana na mabalozi wa nje kwenye tv huwa naona zile kochi chakavu(mbaya kuliko zangu) huwa ni zilezile ?? wanabadilisha nini sasa??? au zile kapeti nyekundu
Pesa nyingi hazitumiki kwa malengo kusudiwa