Yapo ya kusahau lakini sio hili!

Yapo ya kusahau lakini sio hili!

ndio maana nkasema bora angekuwa waziri mkuu hadi leo I mean Lowassa
mengi yangeshafanyika, ana ujasiri wa kuthubutu ingawa sio msafi
sijasema arudi madarakani kwa sasa Shine
hata hivo hakuna hata mmoja CCM alie msafi
wameshauza nchi siku nyingi kwa sasa.
wameshakubali nchi ife kwa matakwa ya wamarekani na Wachina
miradi kama Mkukuta, ina lengo la kuuwa viwanda vyetu
tunarudi kule kule,,,we consume what we are not producing
anad prodcuce what we can not consume.
tutabaki kuwa cheap labour ya wazungu na watoto wetu watarudi kuwa watwana.
Kama kenya walivoshtuka mapema wakamnyima Kura Raila ambae ni kibaraka wa wamarekani na wajerumani
wakampa kenyatta alie mzalendo...
kilichobaki ni kuamka kama Kenywa kuwatia adabu wauza nchi wote na kuwafukuzia mbali.

Wewe ndo umepoteza mweleko kabisa kama sisi tuapambana na wezi na wewe ndo unataka warudi madarakani
 
Ndo maana uzalendo unapungua na hata kuisha kabisa miongoni mwa vijana wengi kwa sababu vipaumbele vya serikali kama hivi siyo mahitaji ya wananchi. The best we can do is to pray for our leaders Mungu awarudishie akili.

Sidhani kama mlevi wa madaraka anaweza kubadilika labda aondoke madarakani then mambo yawe mabaya eidha kwakuwajibishwa ama amwadhibu
 
Nakumbuka alipokuja kofi Annan kipindi cha Mkapa ilikuwa aibu viongozi wanajipepea na magazeti.

Sasa hivi angalau kidogo Ikulu ina sura.

inasura ndiyo ila wafanyakazi wa serikali wapo kwenye hali gani? Wananchi je? Uchumi wetu unaenda wapi? Deni la taifa lilikuwa je alipoingia madarakani jk mpaka sasa na nani atalilipa?
 
huu ni wizi ,tena wizi wa wazwaz..haiwezekani watz tufanywe mandondocha kiasi hicho.Huu ni wizi!!!!!

ndiyo ni wizi na kila anaesomai hii post analijua hilo je kipi cha kufanya kuondokana na hilo?
 
Bilioni sita kwa nyumba 611 ume under estimate mkuu! kumbuka nyumba za walimu hasa kule mikoani ni paa la bati la kawaida na tofari za kuchoma na sakafu chini, ambapo nyumba ya vyumba vitatu haizidi milioni tano! hizo ni nyumba zaidi ya 1200 kwa standard hiyo! Tena kwingineko wananchi hujitolea nguvu zao kujenga bure na kuchoma tofari bure!

Mungu tunusuru na huu wizi wa mchana kweupe!


tena kumbuka nyumba nyingi zinajengwa kwa kushirikisha wananchi kuchangia rasilimali zinazopatikana kwenye maeneo yao na ukija kwa approach hiyo na wananchi wanapenda maendeleo nyumba zitatoka hata 5,000 (alfu tano kwa maneno kuonyesha sijakosea tarakimu)
 
Jamani Tanzania nchi yangu! Mpaka 2015 tutakuwa tumeumizwa sana!
 
Nikijua mama ameipigia kura CCM namkana kuanzia siku hiyo, mke wangu namlamba talaka takatifu.

punguza hasira, kumkana mama mmh! ila kumtaliki mke naunga hoja, akinipenda mimi aipende chadema pia.
 
Kama nyumba moja ya mwalimu inagharimu tsh 20m. Kwahiyo 1 bilion itajenga nyumba 50. So bilion 17 itajenga nyumba 850 za walimu

mtapiga sana hesabu,bila kuitoa ccm madarakani ni kazi bure.
ccm must go!!!
 
KUNA BIASHARA TENA INALIPA ULIAMBIWA KUWA UKIONA MTU ANAKIMBILIA IKULU TENA HATA KWA KUHONGA!!!


Biashara YA IKULU INALIPA BANA ! HII TOPIC IMEJIFICHA KWA NINI ISINGEKUWA YAPO YA KUSAHAU LAKINI KWA HILI LA IKULU YETU.......




Wengi hawakuchangia Maana kichwa cha habari chepesi. Kumbe ndani kuzito


BIA
 
Sishangai maana hata anayejiita profesa benno ndulu (gavana bot) aliwahi kukarabati nyuma wanazoishi yeye na msaidizi wake kwa gharama ya shilingi 2,500,000,000 (bilioni mbili na nusu). Ni aibu sana jamani. Tuamke sasa tuseme bhasss..
 
wakuu mnaotuletea hizi news mnatusababishia vidonda vya tumbo,mmmmh kufa hatufi lakini chamoto........
 
Back
Top Bottom