BUSARA ZANGU
JF-Expert Member
- May 5, 2013
- 778
- 1,269
and Ng'wampalala
bila kumsahau marcopolo..
and Ng'wampalala
Hii ni nchi masikini haiwezi kujenga nyumba kiasi hicho....! hivyo basi serikali inayoongozwa na CCM ni sikivu. walimu si wanamishahara yao? Mnataka raisi anyeshewe mvua?..........ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na kujenga nyumba za waalimu 611 na chenji inarudi.
Aiseee! inawezekana kuna mahali tumemkosea mungu, haiwezekani aruhusu tuadhibiwe hivi. nafikiri tumekosea sehemu atuhurumie.
Inatia hasira mno!
Aisee!
Umeniumiza moyo sana!
Hebu edit kwenye post yako uweke na thamani ya hiyo nyumba moja ya mwalimu!
Tanzania imekufa siku nyingi na watu wake ni porojo tuu, vitendo hakuna Yupo Mungu wa Yakobo yatakwisha kwa uweza wa Mungu.
umesema kweli yaani ule moshi wa pale soko la samaki mtu mpaka unachoka kila siku najiuliza ni nani aliamua kuwapa wajapan kile kiwanja na kujenga soko wakati kingejengwa mbali na IKULU yaani ukiwa mle ndani ikulu nikupiga chafya na vikohozi tu na dhani wale wanaofanya kazi maeneo yale na ndani ya ikulu ofisi ya waziri mkuu,na wizara za ardhi,elimu,utumishi,maendeleo ya jamii,magogoni wote mapafu yao yamejaa moshiBora wangejenga Ikulu nyingine Dodoma na pale pabakie kuwa soko la Samaki
Ukarabati wa IKULU
MWAKA;2006-2007
Tsh.6,114,562,685/=
MWAKA;2007-2008
Tsh.5,596,900,000/=
MWAKA;2008-2009
Tsh.5,712,000,000/=
Pesa zinazotumika kukarabati ikulu kila mwaka nisawa na kujenga nyumba za waalimu 611 na chenji inarudi.
Hii ni nchi masikini haiwezi kujenga nyumba kiasi hicho....! hivyo basi serikali inayoongozwa na CCM ni sikivu. walimu si wanamishahara yao? Mnataka raisi anyeshewe mvua?..........ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
lakini mbona toka enzi za mkapa hadi kikwete nikiona rais anaongea au anaagana na mabalozi wa nje kwenye tv huwa naona zile kochi chakavu(mbaya kuliko zangu) huwa ni zilezile ?? wanabadilisha nini sasa??? au zile kapeti nyekunduhizo ni pesa za kukarabati state house(ikulu magogoni) na state lodge(ikulu za mikoani) zote za tanzania, zina include ukarabati wa majengo, landscape, ubadilishaji wa furniture,caperts, electrical appliances na vitu vingi tu. Lakini hata hivyo sidhani kama gharama zinakaribia hizo bajeti, unless thamani ya pesa ya tz iwe imeshuka mno.
Aisee!
Umeniumiza moyo sana!
Hebu edit kwenye post yako uweke na thamani ya hiyo nyumba moja ya mwalimu!