Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Huu ni utoto.......mnasomaa chuo mwaka wangapi?
 
Tatizo sio kutumia dolar 100 inawezekana ni Zimbabwean Dolar Halafu hizo nguo za laki saba ambazo zikivaliwa zinatanuka inawezekana ni vinguo vya bei rahisi. Ni kawaida asiyekua navyo akipata matako hulia.....
 
Ni kweli boss
Tatizo sio kutumia dolar 100 inawezekana ni Zimbabwean Dolar Halafu hizo nguo za laki saba ambazo zikivaliwa zinatanuka inawezekana ni vinguo vya bei rahisi. Ni kawaida asiyekua navyo akipata matako hulia.....
 
Mbona unalialia kwani shingapi wewe ulivyokuwa unatomba, nguo ni mitumba tu hiyo unanunua nyingine hata asingekuja napo ungelaumu kweli wanaume wa mikoani mnaashida nyiee
 
Kutesa kwa zamu. Endelea tu kuumia mkuu kwa Sababu nae manzi alikua anaumia sana wakati anatoa mbwa.
 
Back
Top Bottom