Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Mambo mapana sana.
Zamu yake ikifika si huwa anaivaa ndani ya suruali kisha anafunga na mkanda, mtu hajui kinachoendelea

Mana kiuno cha mwanamke aliefungasha akivaa ya mwanaume inaweza isiingie au imbane kuliko kawaida
 
But all in all nguo haziharibiki zikivaliwa na mwanamke
Especially mashati mana mashati mengi ni mkanganyiko wa silk and cotton
Kitu kinachoyafanya yawe steady
Af nukta za chuchu, seriously??
 
Sie tunavaliana.
Sometime mpaka singlend zake navaa nae anavaaga shanga zangu tukiwa kwenye shughuli
 
But all in all nguo haziharibiki zikivaliwa na mwanamke
Especially mashati mana mashati mengi ni mkanganyiko wa silk and cotton
Kitu kinachoyafanya yawe steady
Af nukta za chuchu, seriously??
Chuchu konzi.
Ila kuna wanawake wana chuchu kama kifungo
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
ungekuwa kila siku unamsumbua unamuomba Tigoo tu hutaki kingine mwenyewe angesepaa huyo
 
Ahahahahaha daah mwanaume kabisa yani unalala mika upuuzi kama huo unaonyesha uzaifu wako kwake halafu unatuaibisha wanaume ....
 
utoto huu
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
ukibalehe utaacha tuu
 
Mkuu ulijiunga cha wiki ukapewa cha mwezi unalamika tena?😂😂😂😂😂 Jiandae anarud tena hyo cku c nying
 
Shida ya wanawake wa sasa wanapenda Sifa kuliko kuwa na heshima
Yaaani wanawake wa sasa wako kama papasi Au kunguni
Yaani utandawazi umewaharibu sana
Viburi vimejaa
Ndo maana hawaolewi wanabaki kuchezewa

Jitu unaliambia nenda lipo tu
Wakati inatakiwa
Awe mnyenyekevu ili kusudi avutiwe na wewe badala yake inakue kelo
Sasa wakishagundua una kitu huyo kaaenda kujipanga akirudi kama ni mzaramo Utapata tabu sanaa, dawa utakula

Kila siki za wiki itakuwa ni mikikimikiki
 
Mshkaji utakuwa na koroho flani hivi (sikitaji) ila kama vipi muachie vyote alivyo vitumia
 
wew sio mwanaume wa mkoan mwanaume unalalamika nguo pumbavu wanaume wa mikoan hatupo hivyo
 
Jamani Jamani, nafikiri tuwe na utaratibu wa kuwapima watu akili kabla ya kuwapa/kuwauzia SmartPhone.
 
Hahahaa kama hukuwa na mpango wa kukaa nae ulimwita wa nn mchepuko au dem kama huna mpango nae hakaribishw home
umeongea ukweli mtupu, nilipanga sinza kipindi niko chuo miaka 3 sijawahi kuleta mwanamke (binti) tena nyumba nilimwambia dalali anitafutie ambayo ina familia yenye kueleweka (watu wastaarabu) ili nijistukie kuleta mizigo, nikizidiwa ni juu kwa juu huko huko nyumbani ni sehemu ya heshima usilete mchepuko au mwanamke ambaye huna malengo nae kwako, naamini umejifunza
 
Back
Top Bottom