Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Mi akunywa choda a baba leo......tam iyoooo
Aahahahahhahaaa choda ababa tamuuuu
Same here, akunywa choda amama...... hehehehe cheers.
Mi akunywa choda a baba leo......tam iyoooo
Kumbe bado mmZipo nyingi tu
Mkuu utakuwa Mshenga wangu. Nataka nioeHivi Kiranga bebi wako alikuleteaga ile pafyumu?
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
Aliniletea za kutosha tuHivi Kiranga bebi wako alikuleteaga ile pafyumu?
Ndo ufanye mpango upate humu humuKumbe bado mm
aisee ngoja nipambane juu chini. maana upweke huu ni baraaNdo ufanye mpango upate humu humu
Mm napaata faida gani katika hiliKama kawaida yangu nakubishia mpaka uweke chupi zako, suruali na t-shirt alizoharibu ndipo nitaamini.
ahahahaha have a mercy on me madamePapuchi kama yote unakula bureeeeeeee Leo watuletea machozi kwendraaaaaaa😁😁😁😁😁😁😁😁
😁😁😁😁😁 mbavu zanguUmejipigia ujiko sana yaani nguo umenunulia uturuki still unaishi getto! Sio mbaya lakini nimejifunza kitu
hahaha mkuu acha wakupashe, kesho ntakupigia tuongee mengineahahahaha have a mercy on me madame
Waswahili bwanaaaaa. yani kunua nguo Ebay kwa dola hata 50 wanaona anasa. jamaa anafikiri nijenge kwanza nyumba ndo nianze kuvaaa. haya ni mawazo primitive sana. eti kisa nimepanga ndo nisinunue gari😁😁😁😁😁 mbavu zangu
hamna mtu ananisumbua. maana mimi mwenyewe mswahili balaaahahaha mkuu acha wakupashe, kesho ntakupigia tuongee mengine
tatizo uliposema ume import toka dar, wakakuona wa mkoani mshamba mshamba kumbe mtoto wa Manzese mswahili swahilihamna mtu ananisumbua. maana mimi mwenyewe mswahili balaaa
ahahah karibu sanaaaa🙂🙂🙂🙂🙂🙂🙂hahaha mkuu acha wakupashe, kesho ntakupigia tuongee mengine
huku mkoani hata mwaka sina. nimeingia darmwaka 95. nimekua dar na kusoma hadi chuo kikuu ni dar. nipo mkoa toka mwezi wa pili mwaka huu kikazitatizo uliposema ume import toka dar, wakakuona wa mkoani mshamba mshamba kumbe mtoto wa Manzese mswahili swahili
mkuu ilikuwa ni kwa faida ya watani zako wanavyokuponda, lkn kubali kwasasa u mwanamme wa mkoani hahahuku mkoani hata mwaka sina. nimeingia darmwaka 95. nimekua dar na kusoma hadi chuo kikuu ni dar. nipo mkoa toka mwezi wa pili mwaka huu kikazi
Ya mdada husikaPicha ya ni boss