Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Mbona unalialia kwani shingapi wewe ulivyokuwa unatomba, nguo ni mitumba tu hiyo unanunua nyingine hata asingekuja napo ungelaumu kweli wanaume wa mikoani mnaashida nyiee
Wanaume wa mikoani tupo vizur
 
Baadhi ya wanaume wanatia aibu sana. Sasa nguo tuu unalalamika je akiendesha gari na bahati mbaya akagonga sehemu si ndio utakufa kwa kihoro.

Umasikini ni janga
 
Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.


Mwanamke wawatu hana shida, mshikaji ndio anazingua. Mtu anamfanyia kazi zote hizo then aje amsimange na maneno ya shombo kama haya. Mwanamke hajaumbwa kufanya kazi, ikitokea hivyo ni kumshukuru tu Mungu
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Nipe namba yake kama humtaki

Sent from my HUAWEI Y360-U82 using JamiiForums mobile app
 
Naua mtu. Kwanini aendeshe na agonge. Sitaki uharibifu wa kijinga
Baadhi ya wanaume wanatia aibu sana. Sasa nguo tuu unalalamika je akiendesha gari na bahati mbaya akagonga sehemu si ndio utakufa kwa kihoro.

Umasikini ni janga
 
Ahahahahaa
Ila Kama hukutaka kutuambia alikuja kwako akakaa siku mingi ni Kama ulitaka kubrag hiviiii
Ni graduate so hana kazi kufanya. Na ilkuwa akae wiki. Yeye akakaa mwezi.
Tayari ame breach contract
 
Back
Top Bottom