Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
- Thread starter
- #61
Nimeleta somo hapa
Kama umesoma hadi form 4 najua neno (CASE STUDY) sio geni kwako. Nadhani unajua lina simulate situation kwa kiasi gani.
Ili wanawake wasifanye hizi tabia.Kimsingi uchoyo n tabia mbaya halafu mwanaume ukiwa na tabia hii sisi wengine inabidi tukushangae tu maana yawezekana kabisa unajua kwamba huyo dem wako hatumii jamiiforum lakini umeshindwa kumwambia unakuja kutuambia sisi je is we her? , are she? , is she us? , or we are she?
Kama umesoma hadi form 4 najua neno (CASE STUDY) sio geni kwako. Nadhani unajua lina simulate situation kwa kiasi gani.