Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Umesha chezea papuchi imekukinai hutaki tena unataka mpya. Kuna mtu sehemu muda huu anabuluza papuchi ya your dream wife. Malipo ni hapahapa
 
Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.
Naweza date n wewe, uliye busy kidogo
 
Afu unadhani unapeendwa, kumbe ni treatment zako tu.
Mwanaume mjanja angekodi chumba na kutandika mkeka, tuone kama angeng'ang'ania.
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Mkuu ni ya kweli unayosema, mi sijaelewa unacholalamikia km ni kweli, unawezaje kumkatia tiketi ya ndege, unajinunulia nguo za hadi laki saba, afu yeye unamwacha na kitenge tu hadi anavaa zako, we km sio mwongo bas umeongeza chumvi kidogo, anyway next time ingia gharama za muhimu km vile kununua viwalo vyake, viatu vyake, chupi zake, ili asikuvalie tena zako au vipi, haileti maana mtu kaja na nguo moja wewe una minguo kibao afu hujiongezi kumnunulia zake afu kaja kwako, ulitaka akanunue nani mkuu?
 
Boss si alisema anakaa wiki???
Mkuu ni ya kweli unayosema, mi sijaelewa unacholalamikia km ni kweli, unawezaje kumkatia tiketi ya ndege, unajinunulia nguo za hadi laki saba, afu yeye unamwacha na kitenge tu hadi anavaa zako, we km sio mwongo bas umeongeza chumvi kidogo, anyway next time ingia gharama za muhimu km vile kununua viwalo vyake, viatu vyake, chupi zake, ili asikuvalie tena zako au vipi, haileti maana mtu kaja na nguo moja wewe una minguo kibao afu hujiongezi kumnunulia zake afu kaja kwako, ulitaka akanunue nani mkuu?
Vitu alivyokuja navyo vilimtisha kwa wiki moja. Shida amekaa mwezi mzima
 
Back
Top Bottom