sawe4u
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 973
- 581
Pamban brow ila viumbe asee acha tuu ,Hapana boss. Elimu ya kiutu uzima ni rahisi sana
Hv eBay wako saw na umewah agiz chocho around mwez wa 8,9, 10 maana nataka nijarbu agza
Pamban brow ila viumbe asee acha tuu ,Hapana boss. Elimu ya kiutu uzima ni rahisi sana
Nahitaji mwanamke consciousWanaume hampendeki lakini. Au humpendi unapiga piga tu kwa muda?
Dada zangu wenyewe hawana kazi. Muache apambane tu na hali yakeMtafutiee kazi atakua anakuja kwako siku akiwa free tu
Chagua top rated sellers. Anza. Kuagiza vitu vidogo hata vya 5$ ukishapata experience utafaidika sana na products uzipendazoPamban brow ila viumbe asee acha tuu ,
Hv eBay wako saw na umewah agiz chocho around mwez wa 8,9, 10 maana nataka nijarbu agza
Wanaume bwana.. NimemalizaMwanamke ambae hajiongezi nimpeleke wapi sasaNahitaji mwanamke conscious
Twende dm tusiarbu mada hapaBroo agiza tuu hakuna wizi. Money back guaranteeChagua top rated sellers. Anza. Kuagiza vitu vidogo hata vya 5$ ukishapata experience utafaidika sana na products uzipendazo
Ngoja nikuunganishe na watu wa Gender network. Utatufaa sana kumaliza ukandamizaji wa kijinsiaUmeona hapa ndo sehemu sahihi ya kuja kumsema???
Kwa nini hukumwambia asivae nguo anazipanua?
Alafu hiyo kupanua nguo ndo jambo pekee umeona???
#Kumchezea kabla ya ndoa ujaliona
#Kurisk safari dar - mkoani kwa ajili yako pia ujaona, angepAta ajali je?
#kupika kufua ujaona pia
Ila umeona tu la kuvaa nguo zako
Na hiyo 350k unaona ina thamani sana kuliko utu wa huyo binti wa watu????????
Baadhi ya wanaume ni ma selfish sana na hamna real love, mtu anajitoA kwako ila bila kujali wewe ndo unakuwa mtu wa kumsema behind her back.
#Malipo ni hapa hapa duniani yale mnayotufanyia wanawake msifikiri Mungu hayaoni.
Wanaume bwana.. Nimemaliza
Basi hayo mambo nenda kawaelezee wanafunzi wenzakoNi kweli. Nawaza sana masomo. Mind yangu ipo oriented ki uanafunzi
GotchaTwende dm tusiarbu mada hapa
Basi hayo mambo nenda kawaelezee wanafunzi wenzako
DM yako inagoma ?Gotcha
Ukitaka ufafanuzi zaidi ipeleke kwenye group lako la chuoWengine wapo humu JF. Na ndo wanacomment huu uzi
Mnunulie sio kuropokaMwanaume unalia lia ata nguo za lk7 so what?
WifiiiMwanaume wa mkoani huyo.
Mie mwanaume wangu nilikuwa namvalia mpaka boksa na singlend ila halalamiki.
DM yako inagoma ?
Hopefully ni mwanafunzi mwenzanguUkitaka ufafanuzi zaidi ipeleke kwenye group lako la chuo