Hazchem plate
JF-Expert Member
- Feb 25, 2011
- 11,059
- 15,534
- Thread starter
- #341
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] Daaaah
Ndio uache kununua nguo za kichina sasa
Ndio uache kununua nguo za kichina sasa
Poa Kasie wa Nyani Ngabu... Lisalimie hilo lisukuma
Ngosha Og huoni lilivo lishamba?
Akiharibu jeeeNajisikia amani sana nikiona wife kavaa nguo yeyote yakwangu ni fresh sana
Weeeee wewe wewe ntakuzika ukiwa hai.
Wanachekesha eehAhahahaahaha. Mm sio ngosha. Ila wasukuma wa bariadi ndio very primitive. Yani ukikutanana ngosha wa bariadi utacheka sanaaaaa
Wanachekesha eeh
Thubutu yako,utajutia kukosa utamWeeeee wewe wewe ntakuzika ukiwa hai.
Thubutu yako,utajutia kukosa utam
Huu ujumbe sidhani kama umemfikia muhusika kwa njia hii uliyotumia. Ungemchana huko huko nadhani ingependeza zaidiJuzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.
Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.
Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.
Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.
Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.
Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.
Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.
Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.
Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k
Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo
Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.
Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa
Wanawake acheni maudhi jamani.
Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.
Yani nimeumia wajameni balaaa.
Picha ya ni bossWeka picha mkuu
Hahahahahahaaa salamu zimemfikia, atafika mwenyewe hapa kuzijibu.
Weekend njema kwako mamii.
Zipo nyingi tuAiseee kumbe kuna kuna Ndoa humu JF. Bado mimii tuuu
Zipo nyingi tu
Ndiyo sehemu ya matumizi hiyo mkuuMkuu matumizi sio ishu. Ishu ni kuharibika nguo zangu na kupanda ndege