Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Nilichoona na kugundua post yako IPO kwa ajili ya kujionesh kuwa unapesa sana, lakin pia umepanga na mzizi kinomaaa.

Ubarikiwe
 
Ahahahaha
Unanishangaza unavyofanya vitu kwa kulalamika. Nauli ya ndege umelalamika..kwani kulikuwa na haja gani ya kukubali kama moyo wako haujaridhia? Na mwezi ujao anakuja kuchukua vitu vyake...ha haaaa atakaa miezi 6 ndoa hiyo tayari.
Aiseee unanikatisha tamaaa. Mimi nimelipa nauli ya ndege ili aondike otherwise nisingespend such amount of money. Kuna wadau wamesema nimtumie vitu vyake ili asije. Nimeona ni wazo zuri. Natuma vitu kisha nampa taarifa apokee ubungo
 
Boss huwa nafanya hivi. Ili tulikubaliana akae wiki so nikaona mambo ya Lodge ni magumu
Nilishaapa sintompeleka demu wangu nyumbani kwangu.
guest tu.tutamaliza vyumba vyote vya guest.lakini si kumpeleka kwangu.
 
AhahahahaAiseee unanikatisha tamaaa. Mimi nimelipa nauli ya ndege ili aondike otherwise nisingespend such amount of money. Kuna wadau wamesema nimtumie vitu vyake ili asije. Nimeona ni wazo zuri. Natuma vitu kisha nampa taarifa apokee ubungo
Haya fanya hivyo
 
Mbona umemsema kama vile humpendi?! Kwann hukumweleza hapo hapo asivae nguo zako anatanua
Hivi huwa mnajiaminisha mnapendwa zaidi ya kupenda papuchi zenu tu, yaani ikiwezekana tupate papuchi zenu bila nyie itakuwa poah sana..
 
Kiuk
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
NIMECHEKA SAAANAAA! Yaani jamaa unakerwa na nguo TU je YEYE ULIVYOMKANDAMIZIA
 
Boss mimi ni mtanzania wa kawaida. Izo laki saba na laji tatu nilizotaja ndo unanifananusha na MO???
Nilichoona na kugundua post yako IPO kwa ajili ya kujionesh kuwa unapesa sana, lakin pia umepanga na mzizi kinomaaa.

Ubarikiwe
 
Hivi huwa mnajiaminisha mnapendwa zaidi ya kupenda papuchi zenu tu, yaani ikiwezekana tupate papuchi zenu bila nyie itakuwa poah sana..
Hata sis unafikir tunawapenda zaidi ya kuwachuna tu
 
hahaaaa, nimecheka mno eti kaharibu nguo nikawaza alikua anazifanyaje dah suruali zina misambwanda,kwahyo ulikua unamchora tu hukumwambia kumbe unaugulia tu,uchoyo huo mbaba weweee. Afu naona umekuja kunisema huku sasa nasemaje mwisho wa mwezi as usual nakujaaaa.
 
Back
Top Bottom