Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Kuna vitu vingine mimi kama mwanaume siwezi kuvifanya hapa JF pamoja na kuwa na ID fake, yani kidume kizma unaleta mambo ya kijinga ishu za demu wako kukuvalia nguo zimetanuka sijui nikampeleka akapnde ndege wakamkagua vitu kama perfume wakamkatalia nikarudi navyo vyote hivyo vinatusaidia nini,hatuwezi kuna na taifa lenye vijana hewa kama wewe, dume zima unatoa ishu za manzi huko unakuja kuweka hapa kama mada,ni umama wa hali ya juu,
Huyu jamaa analeta ushoga eti dem wake alikua anavaa nguo zake yani huyu jamaa ni mpumbavu sana
 
Ahahahah
Pia basi tafuta kamodo kenye mwili na kifua ambacho sio kipana pia chenye makalio ya wastani maana kilio cha nguo zako hakitoisha kwa staili hiyo sasa kama unapenda Bull dozer hilo sio jukumu letu!...Between: nguo zenu huwa zina harufu flan hivi amazing ndo maana tunapenda kuzivaa![emoji39]
Kupata hicho kimodal ndo changamoto. Ngoja nipambane. Haya ma bull dozzer yataniua[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Huyu ni mwanaume wa mkoani, sasa si unamtumia tu hivyo vitu vyake kwa basi kama hauwezi kumwambia asije tena? Yani mtu hajawahi kuoanda ndege wewe ndo unamkatia tiketi? Vipi wewe mwenyewe ushawahi panda ndege?
 
Sijawai boss kupanda. Ili nilikua nimekereka sikutaka aendelee kukaa kwangu
Huyu ni mwanaume wa mkoani, sasa si unamtumia tu hivyo vitu vyake kwa basi kama hauwezi kumwambia asije tena? Yani mtu hajawahi kuoanda ndege wewe ndo unamkatia tiketi? Vipi wewe mwenyewe ushawahi panda ndege?
 
Haya ndo madhara ya kuwa kimapenzi na lawayer. Yani demu aje kwangu nianze kufannya stock taking ya asset zote kisa ataniibia? Sasa kama naona ana tabia ya wiz sasa ni wa nini kwangu.

Anyway nimepata concept yako. Naona ishue iliyokukera ni why nime publisize hii event.

Nimeweka as a case study pia watu wajifunze.

Af nakuhitaji DM pls
DM please
 
Back
Top Bottom