Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Siwezi kumpokea
Okei nimekupata.... Sasa umejipangaje akirudi? Au bado hujawaza what next
Pia wadau wameniambia nimtumie vitu vyake. Nitatuma Jpili jioni leo nimenuua begi la elfu 25 nadhani litafaa
 
Kati ya wanaume ambao siwezi Kuwaita wanaume nikimtoa James delicious na wew unafuata...!!!
 
Mwanamke mwenye kazi na majukumu yake hawezi ku sacrifice akaja akakaa kwako mwezi bila hata chembe ya aibu! kwa kawaida mtu anakuja ijumaa J.2 anageuza zake cos Blue monday aamkie job mapema asubuhi, uanze ku date wenye shughuli sasa khaa!
 
Unajuwa kutunga Story jitahid utakuwa kama E.Shigongo
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
 
Umefurahia mbunye then unakuja kulalama humu. Wanaume wa mikoani hatuko hivyo labda ww wa dar ila umehamia mkoani tena nahic ni dodoma.
 
Hili nalo neno mama
Mwanamke mwenye kazi na majukumu yake hawezi ku sacrifice akaja akakaa kwako mwezi bila hata chembe ya aibu! kwa kawaida mtu anakuja ijumaa J.2 anageuza zake cos Blue monday aamkie job mapema asubuhi, uanze ku date wenye shughuli sasa khaa!
 
Kuna vitu vingine mimi kama mwanaume siwezi kuvifanya hapa JF pamoja na kuwa na ID fake, yani kidume kizma unaleta mambo ya kijinga ishu za demu wako kukuvalia nguo zimetanuka sijui nikampeleka akapnde ndege wakamkagua vitu kama perfume wakamkatalia nikarudi navyo vyote hivyo vinatusaidia nini,hatuwezi kuwa na taifa lenye vijana hewa kama wewe, dume zima unatoa ishu za manzi huko unakuja kuweka hapa kama mada,ni umama wa hali ya juu,
 
Sawa boss. Naona kumbe nina IQ kubwa ya composing. Thank u for prove me right
Kuna vitu vingine mimi kama mwanaume siwezi kuvifanya hapa JF pamoja na kuwa na ID fake, yani kidume kizma unaleta mambo ya kijinga ishu za demu wako kukuvalia nguo zimetanuka sijui nikampeleka akapnde ndege wakamkagua vitu kama perfume wakamkatalia nikarudi navyo vyote hivyo vinatusaidia nini,hatuwezi kuna na taifa lenye vijana hewa kama wewe, dume zima unatoa ishu za manzi huko unakuja kuweka hapa kama mada,ni umama wa hali ya juu,
 
Hili nalo neno mama
Pia basi tafuta kamodo kenye mwili na kifua ambacho sio kipana pia chenye makalio ya wastani maana kilio cha nguo zako hakitoisha kwa staili hiyo sasa kama unapenda Bull dozer hilo sio jukumu letu!...Between: nguo zenu huwa zina harufu flan hivi amazing ndo maana tunapenda kuzivaa![emoji39]
 
Back
Top Bottom