Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Ndugu..hii cha mtoto,ngoja akabebe mimba ya mwingine afu bila taarifa utaona anakuja anatapika vibaya na kukwambia aliondoka na ujauzito wako,hapo ndo utajua kwa nini samaki anatoka kwenye maji na anapikwa na maji na analiwa na kunywewa na maji na ukienda choo unamflash na maji aende shimoni.kama umepanga nyumba jiandae kuhama hapo asikupate,na kama ofisini kwako anapajua ndo utakoma.yakikukuta njoo nikupe maujanja maana yalishanitokea
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Wavulana wa siku hizi wana mambo
 
Mkuu inaonesha 100% hujui nguoIshia hapo hapo wala usendelee.
Endelea kuvaa katani ambazo hazitanuki
Mkuu kwa mfano wewe labda unavaa size "32", huyo Mwanamke wako yeye ni size "34", sasa anawezaje kutanua hiyo "suruali" kwa kuivaa tu???? Logically it does not make sense at all.
 
Kimsingi uchoyo n tabia mbaya halafu mwanaume ukiwa na tabia hii sisi wengine inabidi tukushangae tu maana yawezekana kabisa unajua kwamba huyo dem wako hatumii jamiiforum lakini umeshindwa kumwambia unakuja kutuambia sisi je is we her? , are she? , is she us? , or we are she?
Bora ww umwambie maana anamsimanga huyo dada kisa chakula tu, aiseh hili likaka ni lichoyo sana chakula tu, kuhusu nguo ungempa zile ambazo unashindia
 
Daaaah boss hii issue ya mimba itanitoa roho jamani
Ndugu..hii cha mtoto,ngoja akabebe mimba ya mwingine afu bila taarifa utaona anakuja anatapika vibaya nakukwambia aliondoka na ujauzito wako,hapo ndo utajua kwa nini samaki anatoka kwenye maji na anapikwa na maji na analiwa na kunywewa na maji na ukienda choo unamflash na maji aende shimoni.kama umepanga hapo hama,kama ofisini kwako anapajua ndo utakoma.yakikukuta njoo nikupe maujanja maana yalishanitokea
Ni kind of woman that is not presentable. I can't stand with her any where.
Sijui ntampeleka wapi jamani uuuuuh
 
Back
Top Bottom