Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

[emoji3][emoji3]ndoa ngumu
Mwenzie alikua anapiga hesabu akirudi mjini ahangaike kusaka pesa, kupambana na daladala nk so akaona bora akae huko mkoani service zote anapata gharama ni kukitumia kiuno chake tu maana hizo za kupika, usafi nk hata kwake huwa anafanya.
 
Juzi kati nili Import Dem mmoja toka Dar akaja Mkoa walau Abadirishe mazingira. Tulikubaliana kama atakaa wiki moja na baadae arudi Dar. Dem alifika nikampokea.

Maisha ya kigeto yakawa yanaendelea nikiwa na mwanamke ndani. Maisha yameenda poa sana. Hasa ninaporudi toka vibaruani nakuta msosi, ndani kusafi, nguo zangu zimefuliwa na huduma za usiku napata yani hadi nikaanza kujiona FAZA.

Ishu imefika wiki sioni kama Manzi ana dalili za kuondoka. Kila nikimtrance naona kama ndo kafika. Nikaona sasa hiki ni kisanga. Nikajaribu kutunga safari za kikazi ili walau aseme anaondoka nikaona bado kimya anasema nikirudi ntamkuta. Nikatia figisu weeeeee hadi akaondoka.

Lakini amekaa Almost Mwezi mzima kwangu.
Sasa kipindi yupo hapa getto alikuwa anavaa nguo zangu kama Track suit, T-shirts na baadhi ya suruali zangu.

Yani ameharibu nguo zangu vibaya mnoooo. Nimeumia sana. Yani Tshirt zangu ziwezi kuzivaa tena maana zimetanuka kifuani kwa ajili ya matiti pia zina vile vinukta vya Chuchu.

Suruali zangu zimekuwa na Misambwanda balaaa. Yani zimekuwa kubwa matakoni na kiuno kimekuwa kikubwa balaaa.

Yani Jumla ya Nguo kama 20. Zenye thamani hadi kufikia laki 7 zimeharibika kabisa yani.

Mbaya zaidi wakati anataka kuondoka akasema et hajawai kupanda ndege. Ivyo anataka achukue flight to Dar.

Nikawa sina namna maana nataka aondoke tuu. Nikafanya booking ya siku 4 before nikapata ticket ya fast jet kwa 350k

Wakati namsindikiza akat wanafanya inspection kuna viti walikataa visippande ndege. Ni kama mafuta, perfum na vitu kibao. So ikabidi anipe nirudi navyo

Baada ya kufika home nikagundua kuwa ameacha vitu vyake vingine kama kanga nilizomnunulia maana alikuja na mtandio tu na nguo maa alikuja na pochi tu na huku nilimnunulia baadhi ya vitu.

Kasema mwisho wa mwezi atakuja kuchukua vitu vyake. Yani nimekasirika kinomaaaa

Wanawake acheni maudhi jamani.

Kuna masweta yangu nilinunua Ebay toka uturuki yote ameyaharibu kisa alikuwa anavaa apigie picha/ self ili awe anapost.

Yani nimeumia wajameni balaaa.
Udada na umama acha wamngese.yan jf,nd unaleta usenge wako
 
Ulifikiri unapikiwa, unafuliwa na kusafishiwa nyumba bure????? na ule ufundi wa kukatika uliouonyesha ulidhani bure bure tu.... loooooo wanaume wa dar jueni kula na kulipa.... na badooo atarudi tena kwa kasi mpya
Wewe emu acha upuuzi wako huyo sio wa dar ni wa huko kwenu mikoani mnaojinadi kila siku
 
Mwenzie alikua anapiga hesabu akirudi mjini ahangaike kusaka pesa, kupambana na daladala nk so akaona bora akae huko mkoani service zote anapata gharama ni kukitumia kiuno chake tu maana hizo za kupika, usafi nk hata kwake huwa anafanya.
Ndo hapo sasa..sahv ajiandae tu akirudi sio kipochi tena
 
Good idea
Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.
Boss kesho natuma
 
Kimsingi uchoyo n tabia mbaya halafu mwanaume ukiwa na tabia hii sisi wengine inabidi tukushangae tu maana yawezekana kabisa unajua kwamba huyo dem wako hatumii jamiiforum lakini umeshindwa kumwambia unakuja kutuambia sisi je is we her? , are she? , is she us? , or we are she?
 
Huyo ukimwoa atakupelekesha atakavyo, inshu isiwe kulaumu tu, make your own decision.

Nahisi huyo ni mwanamke mwenye gene za kiume ndio maana unamwogopa
Huwa nina nahofia sana watu
 
Pesa ipo mama
Mwanaume wewe unalialia vitu vidogo vidogo. Ningekuwa mimi ningekuchuna hadi ujute kumbe una vijisent vinakusumbua
Kuhusu vijisenti tuu ilo weka poembeni
 
Ahhaahhaha
mwache arudi tu kwani hajakuambia kuwa anayo mimba yako,
starehe aliyokupa mtoto wa Dar huwezi pata kwa mwanamke wa Mkoani
na hatakuzalia ng'o ila hela yako tu itatumika mpaka iishe
maana umempa contact zote hata ukihama geto
Geto siwezi hama boss
 
Back
Top Bottom