Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Tena wa Shoka
hahaha afande leo umeniabisha.
Kwanza unapoishi kuna watoto wakali kushinda mkoa wowote, kwanini uliita huyo kupe?
Lakini kama ulifurahia huduma nzuri, huu ni upande wa pili wa shilingi, huwezi kupata vyote.
Shukuru umekula dyudyu na ulifurahia usafi na msosi nguo utanunua
 
Mkuu kwa mfano wewe labda unavaa size "32", huyo Mwanamke wako yeye ni size "34", sasa anawezaje kutanua hiyo "suruali" kwa kuivaa tu???? Logically it does not make sense at all.
Umeona hii track nilichoifanya ili niivae?
20181013_170246.jpeg
 
Boss wangu watoto wa huku ni balaa. Kwanza malaya kinoma, pili washirikina balaaa. Na akilala kwako siku moja ujue ndo umeoa ivo
hahaha afande leo umeniabisha.
Kwanza unapoishi kuna watoto wakali kushinda mkoa wowote, kwanini uliita huyo kupe?
Lakini kama ulifurahia huduma nzuri, huu ni upande wa pili wa shilingi, huwezi kupata vyote.
Shukuru umekula dyudyu na ulifurahia usafi na msosi nguo utanunua
 
Bora ww umwambie maana anamsimanga huyo dada kisa chakula tu, aiseh hili likaka ni lichoyo sana chakula tu, kuhusu nguo ungempa zile ambazo unashindia
Jamani mimi sina roho iyo.

Mimi sijalalamika yeye kuvaa nguo zangu. Ila Aspect body ratio yake na yangu ni tofauti. So kwann avae??. Ningekuwa na roho mbaya nisingespend kumpa nauli zote izo kumnunulia vitu na pocket money nzuri juu
 
kama una mawazo ya namna hii
nadhani umeanza mambo ya ukubwa
wakati bado una mawazo ya utoto.
mpenzi wako kuvaa nguo zako
siyo jambo la kulilia kwenye mitandao,
ni kawaida sana ,na subiri awe mjamzito
ndo kabisa utatamani uame nchi kabisa.
 
Mwanaume wa mkoani huyo.
Mie mwanaume wangu nilikuwa namvalia mpaka boksa na singlend ila halalamiki.
Tena ndo maana ya mahaba hayoo..yeye alichokosea ni kupenda wa kudanga na angojeee mimba kulea tu... mtumie vitu vyake ktk basi ukimwambia baby nenda ofisi za basi fulani nimekutumia zawadi ataenda. Kupokea na akishapokea mwambie wazazi wako wamekuletea mke hivyo mahusiano yako na yeye yaishe.. mpe makavu kijana.. hahhaa
 
Back
Top Bottom